Pre GE2025 Nje ya Box: Hivi Tanzania kungekuwa na mgombea binafsi nini kingetokea?

Pre GE2025 Nje ya Box: Hivi Tanzania kungekuwa na mgombea binafsi nini kingetokea?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Ni muda mrefu sana zimesikaka sauti za watu wakipaza kuwepo na mgombea binafsi, mgombea ambaye hana chama chochote cha siasa.

Je, katiba ingeruhusu jambo hili nini kingetokea? Au ni faidi zipi Taifa lingepata? Hebu waza nje ya box kisha tiririka.
 
Back
Top Bottom