digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Kwa sisi mabaharia hatukosi uongo wa kudanganya kwa wale vichwa panzi watakwenda na maji[emoji12]
Kila jaribu huja na njia zake
Siwezi toa Siri za kambi ndugu ila Kama kitabu Cha ubaharia unacho kurasa ya 100 mpk ya 150 imetoa maelezo yote ya nini kifanyike ktk jambo kama Hilo.Utafanyaje mkuu,vipi kama ni mwanamke ndo alichepuka si balsa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi toa Siri za kambi ndugu ila Kama kitabu Cha ubaharia unacho kurasa ya 100 mpk ya 150 imetoa maelezo yote ya nini kifanyike ktk jambo kama Hilo.
Unawaza nje ya box au unawaza ngono?
Kosa ni kuwaza ngono halafu unasema ni nje ya boxKwani nikosa kuwaza ngono mkuu?
Kosa ni kuwaza ngono halafu unasema ni nje ya box