[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjane? Haaaa haaaa
Atakuwa anamaanisha dust, wabongo weka pic maneno tunajazilizia [emoji23][emoji23]Shambulio la Dusit, Sijui ndio nini Hahaaa
Atakuwa anamaanisha dust, wabongo weka pic maneno tunajazilizia [emoji23][emoji23]
Ulitakiwa kuuliza Dusit ni nini ila usingeongezea kejeli..hapo mwisho...Shambulio la Dusit, Sijui ndio nini Hahaaa
Hata wewe hukumbukia Shambulio la magaidi wa Alshabab kwenye Hotel ya Dusit mbona halina muda mrefu??Mie hoi huku [emoji23][emoji23]
Nimewaza hivyo hivyo. Yaani hapo na mjeda nae afanye tukio maeneo ya jirani na hicho kituo awekwe ndani akapambane na mgoni wake. Jamaa hapo marinda yake yako hatarini sanaAhahahaha.
Jamaa akikaa selo na mjeshi afanye kasoo kidogo naye akakae naye selo moja.
Vizuri sana mkuu kwa ufafanuzi wa kina wengine walikuwa bado wanakojoa kitandaniUlitakiwa kuuliza Dusit ni nini ila usingeongezea kejeli..hapo mwisho...
Inamaana Shambulio la magaidi Alshabab kwenye hiyo Hotel ya Dusit mlikuwa wadogo sana..mbona limetokea mwaka juzi tuu.nisamehe kwa lugha niliyotumia..
Nilitaka kumtetea mleta mada hajakosea chochote.