Njemba ajisalimisha polisi akiwa uchi kwa kumuogopa mjeshi baada ya kumfumania na mkewe

 
 
Mke wa mtu ni sumu
 
Lazima ukimbie jamaa yuko na,wenzake watano wanakutafuta halafu wana mfuko umejaa mafuta ya ky jelly na Durex
 
msela kaogopa kivazi,akaona isiwe tabu πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kati ya watu wanaogongewa sana wake zao ni wanajeshi na askari sijui wanakwama wapi. ingawa najua mazoez flan huzalisha vibamia na nguvu haba za kiume. tusisahau hawa binadam wenzetu tunawa overate. kama hana silaha vijana wa kitaa wanawamudu sana. ukifumaniwa fanya hali mbaya kuwa mbaya zaid. ukibembeleza unafyatuliwa shit seal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…