Njemba za Mwenge mchuzi doa!

Idd Omary

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
250
Reaction score
37
Oya kama ni vipi niaje we andika hapa ulichokutana nacho huko mwenge tushee mchuzi doa!!!
 
Duh leo hii mpaka sasa sijaona lecture room! Labda maombi ndo nilichopata toka asubuhi!!
 
Mpaka nipo chini mti wanauita mdegree naangalia jinxi ya kuweka GPA juu huku sina kitu kichwani hata notes xina na boom ndo kwanza halina ubani, mchana lazima nipige pasi ndefu!!!
 
Mpaka nipo chini mti wanauita mdegree naangalia jinxi ya kuweka GPA juu huku sina kitu kichwani hata notes xina na boom ndo kwanza halina ubani, mchana lazima nipige pasi ndefu!!!

Hahahaaaaaaa noma sana pasi ndefu.....ndo uanaume huoo
 
Hayo ni maumivu tuu j3 imefika kuna kitu wanakiita kozi weki dah hata kidogo sijagusaaa yaani nomaa!!!
 
Kwa wale maths naomba mwenye hata notes za STA 104 NA MTH 102 anitumie kwenye email yangu (softcopies).
Ahsante!!
 
Mpaka nipo chini mti wanauita mdegree naangalia jinxi ya kuweka GPA juu huku sina kitu kichwani hata notes xina na boom ndo kwanza halina ubani, mchana lazima nipige pasi ndefu!!!

kwa uandishi wako huu aibu kwa mwenge
 
Ivi iyo mwenge ni chuo gani na kiko wap mheshimiwa?????? Na kina facult zipi na zipi???? Mwenye ufahamu atudadavulie,,,,,maana kila siku mwenge mwenge
 
Wapiga misuli sio huku ni huko st vilazaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…