Njia 101 za kua billionaire!

Njia 101 za kua billionaire!

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
1.Fungua youtube channel
-Hapa focus kwene kipaji chako, waonyeshe au waambie watu kuhusu kipaji chako.
Kama n mbea pia uwe unaongelea watu maarufu

2.Uza vitu/bidhaa
-Kam huna mtaji anza kuuza vitu kama makopo ya kuotota ,vyuma chakavu
-kama unamtaji tafuta bidhaa peleka sehemu ambayo inauzika
-kama una mashamba au ardhi waweza uza pia ukapata mtaji

3.Promote watu maarufu
-kama huna wazo lolote na unamdomo basi anza kuwasifia watu maarufu
-Watu wenye hela hasa wanasiasa wasifie waongelee vizuri kwene uma kupitia mitandao ya kijamii, au sehemu yyte utayosikika

4.Fanya kazi uliyosomea
-kama umesomea fun au kazi fulani professional ifanye ila ifanye kwa weredi mkubwa
-Jioneshe unajua na saidia uma hakikisha unapiga hela zaidi ya mshahara wako kwa kuongea vipindi kwa redio au social media

5.Fanya uwekezaji
Wekeza kwenye ardhi si kila sehemu nunua sehemu yenye uhakika wa kukua mfano kwene mji mdogo,barabarani,sehemu ambayo serikali ina mpango wa kufanya mradi au ujenzi wa soko au stend
-Wekeza kwene fixed acc
-wekeza kwene hisa kama UTT
-Wekeza kwene makampuni yenye historia ya kufanya vizuri kama Vodacome

6.Fanya Kilimo
-kama ni mtaalamu wa kilimo basi lima zao ambalo bei zake n za uhakika kama mbaazi,viazi,korosho,karanga
Na mengineyo kulingana na upembuzi wako

7.Jikite kutatua Shida za wenye hela
-kama huna idea au vyote hapo juu basi wewe wafuatilie watu wenye hela na ujue wana hitaji nini.
Halafu fahamu wapi,nani na namna ya kuwatatulia basi hapo utapata hela ya kutosha hasa ukiweza kutatua matatizo ambayo wengi wanashindwa kutatua

mfano: Matajiri wengi huwa wanahangaika kupata watu waaminifu wa kusimamia au kuwaweka makazini.
Wewe unaweza kuwaunganisha na watu hao,

8.Anzisha kampuni ya kufanya kazi zinazokimbiwa au kuogopa
-Kuzibua vyoo
-kuosha maiti
-kusafisha mizoga
-Kuzoa taka
-kukusanya nailon

9.Bahati na sibu
-Kama wewe ndio wale wenye vismart bas fanya betting lakin usisubiri had matokeo ya mwisho hakikisha una CASH OUT kabla mechi hazijaisha
hata kama kuna timu moja ndio imebaki funga mkeka

hakikisha kila wiki unaingiza lak 5 chamsingi usiwe na tamaa ya kula mkeka wote



INAENDELEA PAG2…..
 
10.Fungua kampuni Empty

-Najua utajiuliza mtaji usijali.
Fungua kampuni iwe ya supplies,madawa, vifaa,magari nk au ya chochote ambacho unaona kinahitajika kwene tenda.

Halafu nenda kagombanie tenda ukipata peleka quotation bank watakupa mkopo baada ya kujiridhisha umeshinda tenda.
Hapo utafanya kazi bila kutumia mtaji mkubwa au mtaji wako

11.Fuga kuku wa mayai
-unaweza anza kufuga kuku wowote lakini ili utajirike fuga kuku wa mayai
-Sambaza na uza mayai kuku wakizeeka uza kisha hela uliuzia nunua vifaranga
Rudia tena na tena

12….
 
Back
Top Bottom