Njia 3 rahisi za kuongeza mauzo ya bidhaa msimu huu wa sikukuu

Njia 3 rahisi za kuongeza mauzo ya bidhaa msimu huu wa sikukuu

De marco

Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
46
Reaction score
106
Ukiskia fursa kwako wewe mfanyabiashara, hii ni yako. Tumia tips hizi kuongeza mauzo/sales katika biashara yako kipindi hiki cha sikukuu.

1. TOA DISCOUNT
Kulingana na biashara unayofanya, angalia unaweza kutoa punguzo kiasi gani kwa bei ya bidhaa zako.

Hii itasaidia kuvutia wateja wengi zaidi, hivyo itakuongezea mauzo ya biashara yako.


2. TOA OFA KWA WATEJA
Hii inazingatia nature ya binadamu kupenda urahisi katika mambo, hivyo hata katika biashara yako inafanya kazi vizuri tu.

TOA OFA kama vile, ukinunua bidhaa 2, unapewa moja bure , au ukifanya manunuzi zaidi ya 100,000...unafanyiwa delivery bure.

OFA zitapelekea kuvutia wateja wengi zaidi = more sales.

3. TOA ZAWADI
Hii ni njia ya , inayoweza kukuletea wateja wengi sana mpaka ukashangaa mwenyewe.

Toa zawadi tofauti tofauti kwa wateja wako, kila wanapofanya manunuzi kwako...everybody likes something FREE.

Even zawadi ndogo ndogo kama free diamond karanga zinaweza kuleta utofauti mkubwa kati yako na competitors wako.

Tumia fursa hii ewe mjasiriamali/mfanyabiashara...ujiongezee mauzo yako hasa ktk kipindi hiki ambacho watu wanaspend hela kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu.

IMELETWA KWAKO NA :
MOBBI SHOP, ecommerce website kwa ajili ya kuwaunganisha wafanyabiashara na wateja, kufanya manunuzi online kwa urahisi, USALAMA na UAMINIFU WA hali ya juu

Platform hii itakujia hivi karibuni, STAY TUNED.

www.facebook.com/Mobbi shop

Instagram : @mobbi_shop

0713626525

7a3aaacd109fb6a7f146f2e873c16bea.jpg
"Get connected, together"
 
Back
Top Bottom