JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
1. Muwekee muda wa matumizi ya mtandao. Ni muda gani anaruhusiwa kutumia na muda gani haruhusiwi
2. Fuatilia anachofanya mtoto akiwa mtandaoni, ni maudhui gani hufuatilia na je, yanafaa?
3. Weka sheria katika matumizi ya mitandao ya kijamii
4. Zifahamu tovuti anazotembelea mwanao akiwa mtandaoni, na uweke vikwazo kwa baadhi ya tovuti kutozitumia.
Upvote
2