Njia 4 za kuhakikisha usalama wa mtoto anapokuwa mtandaoni

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124

Njia hizi Mzazi anaweza kuzifuata ili kumuwekea mazingira salama mwanae akiwa mtandaoni

1. Muwekee muda wa matumizi ya mtandao. Ni muda gani anaruhusiwa kutumia na muda gani haruhusiwi

2. Fuatilia anachofanya mtoto akiwa mtandaoni, ni maudhui gani hufuatilia na je, yanafaa?

3. Weka sheria katika matumizi ya mitandao ya kijamii

4. Zifahamu tovuti anazotembelea mwanao akiwa mtandaoni, na uweke vikwazo kwa baadhi ya tovuti kutozitumia.
 
Upvote 2
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…