Asiliatz
Member
- Aug 16, 2018
- 96
- 131
[https://nijolab]
Kulingana na takwimu za statistica idadi ya watumiaji wa mitandao yakijamii itafikia bilioni 3.02+ mwaka 2021 ambayo ni 40% ya watu duniani, mtandao wa facebook ambao unaongoza kwa watumiaji wengi una idadi ya watumiaji bilioni 1.4.
Hii inamaanisha kama unamiliki biashara na hauko makini kitengeneza chapa(brand) imara ya biashara yako kwenye mitandao yakijamii basi wateja wako wapo mbioni kuhamia kwa washindani wako.
Hizi hapa njia 5 unazoweza kutumia kukuza biashara yako, haijalishi biashara ndogo au kubwa kama unataka kukuza biashara yako twende sawa
1.TUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUPELEKA WATU ZAIDI KWENYE DUKA LAKO LA MTANDAONI.
Biashara nyingi ndogo ndogo zinajihusisha na uuzaji wa vitu na hata watoa huduma pia, inabidi uwe na tovuti mfano kama Amazon au Kikuu kwa ajili ya kuuzia bidhaa yako kisha tumia mitandao ya kijamii kuelekeza wateja waende kununua kwenye tovuti yako (yenye mfumo waduka ambapo mteja anaweza kuweka oda). Hapa ndipo umuhimu unapokuja wa kila biashara kuwa na tovuti (website)
Watu wa IT tunaweza kukusaidia kutengeneza tovuti itakayo endana na biashara yako kwa bei nafuu. Weka komenti tutaona.
Asante kwa Facebook wameleta mfumo wakupost bidhaa na kuonekana kama vile kikuu, lakini mfumo wa malipo ndani ya Facebook bado hujafika Tanzania hivyo unaweza kuwapeleka wateja kwenda kununua kwenye tovuti yako au wakaweka oda kupitia messenger. Duka kwenye Instagram ipo pia lakini Tanzania bado haijafika.
Watu wa IT tunaweza kukusaidia kuweka duka la Facebook. Weka komenti tutaonana utafanikisha zaidi kupeleka watu kwenye tovuti yako kwa kutumia matangazo ya Facebook (Facebook ads), watu wa IT tunaweza kukusaidia kutengeneza tangazo.
2. TUMIA VIDEO KADIRI UWEZAVYO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII ILI KUVUTIA HADHIRA NA WATEJA.
Hadhira ni watu wanakufuatilia ambao baadae wanaweza kuwa wateja au mabalozi wa biashara yako, hivyo jitahidi kutumia video kuonyesha namna bidhaa au huduma yako inafanya kazi. Utafiti unaonesha watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii wanapenda kuangalia video na wananunua haraka zaidi pindi wanapoona video kuliko picha tu au maneno.
Sio lazima uwe mtaalamu sana wakutumia kompyuta iliutengeneze video ya tangazo, unaweza hata shuti video kwa kutumia simu yako tu ukionyesha bidhaa yako jinsi inafanya kazi, ukiongeza na vistika tu basi ni tangazo zuri sana litaloweza kukuza biashara yako maana wateja wengi watakuwa makini kukufatilia.
Watu wa IT tunaweza kukusaidia kutungeneza video za matangazo kwenye mitandao ya kijamii.
3. TUMIA WAHAMASISHAJI KUTANGAZA BIASHARA YAKO.
Kuna wahamasishaji (influencers) na watu maarufu (celebrities). Usije ukachanganya, sio kila mtu maarufu ni mhamasishaji. Wahamasishaji ni watu ambao wanatoa mchango fulani kwa jamii na jamii inapenda na inanufaika kuwafuatilia.
Mfano: Erick Shigongo ni mhamasishaji au Millard Ayo ni mhamasishaji kwa sababu wanatoa mchango kwa jamii na jamii inawafuatilia lakini hawa wenye skendo za picha za utupu ni watu maarufu wamepata umaarufu kwaajili ya kashifa.Tanzania wanawatumia sana watumaharufu ambao pengine sio wahamasishaji hii nikutokana na uhaba wa wahamisishaji.
Wahamasishaji wanaweza kuwa:
- Mablogger
- Waandishi wa vitabu.
- Wakufunzi(waalimu) wamitandaoni
- Wasanii
- Wanamichezo n.k
Unaweza kuwa tumia wahamasishaji hata kama hauna pesa unaweza kumuomba Millard au blogger yoyote akusaidie kuonyesha thamani ya bidhaa yako au huduma yako sidhani kama atakataa sababu inamuongezea kitu na yeye pia.
4. ANDIKA MAKALA ZITAKAZOSAIDIA KUTATUA MATATIZO YA WATU KUTOKANA NA HUDUMA AU BIDHAA UNAZOUZA.
Watu huwa wananua kwa kutumia hisia, hivyo jitahidi kuteka hisia za wateja wako kadiri uwezavyo kwenye mitandao yakijamii, watu huwa hawapendi kuuziwa lakini wanapenda kununua, hivyo usipende sana kumuuzia mtu kabla hujampa thamani ya hicho unachomuuzia ili hisia imshawishi anunue.
Watu wa IT tunaweza kukusaidia kuandika makala fupi na ndefu zitakazo mpatia mteja hisia ya kununua bidhaa au huduma yako. Weka komenti tutaiona.
5. TUMIA MITANDAO YAKIJAMII KUELEZEA STORI YA CHAPA(BRAND) YAKO NA MAFANIKIO JITOFAUTISHE NA WASHINDANI WAKO.
Ni muhimu sana kuelezea stori ya biashara yako kwa ufupi lengo na inalenga wakina nani hasa, facebook inayosehemu yakuandika stori ya biashara yako, Instagram, Twitter na mitandao mengine unaweza kuandika kwenye BIO kwa ufupi, pia share mafanikio ya biashara yako share ni jinsi gani wateja wako wamefurahia huduma yako, share ni hatua gani unachukua kuboresha huduma zako.
Hii itakufanya kujitofautisha zaidi na washindani wako maana kila mmoja atakua na stori yake, na itakuwa rahisi wateja kukutambua.
Promote akaunti zako za kijamii kupitia matangazo ya kulipia ili uwafikie wateja wengi zaidi, watu wa IT tunaweza kukusaidia kupromote akaunti yako.
Wahi mapema kujikita kwenye mitandao ya kijamii maana muda sio mrefu wateja watakuhama wataenda kwa mtu wanayemuona kila siku na mtu ambaye anawapa thamani na anateka hisia zao.