*1. Uwe na mwanamke anayekufanya ucheke*
*2. Uwe na mwanamke anayekupa muda wake*
*3. Uwe na mwanamke anayekujali*
*4. Uwe na mwanamke anayekupenda kwa dhati*
*5. Mwisho, hakikisha hawa wanawake wanne hawajuani.*
Hahahahaaa hi post penda sana ila hakunna watu wana machale kama hawa nna maana akina Hawa ni noma hawa watu aise ukiona hawajui bas ujue wanaekt ili kuepusha matatizo