Post nzuri sana, halafu ya Kiswahili. Busara zake zikifuatiliwa itaepusha migogoro mingi.
Ingawa imeandikwa mahsusi kwa kuangalia mazingira ya kazini, lakini bado inaweza kutumika hata katika mahusiano nje ya kazini.
Of course kuna mambo mengine ni magumu kuyafuatilia (mpende kila mtu?) lakini kwa ujumla imekaa vizuri.
Ahsante.
[*]Usijaribu kuwabadili wenzako, badilika mwenyewe: Wapo binadamu ambao kila kukicha wao hujaribu kuwabadilisha wenzao? Kama wewe ni miongoni mwa watu wa namna hiyo, nasikitika kukuambia kwamba kazi kubwa ipo mbeleni mwako. Sio jambo rahisi kumbadili mtu. Ni sawa kabisa na kupoteza muda. Badala yake,jaribu wewe kubadilika.Kama mfanyakazi mwenzako ni ile aina ya watu wanaopenda kusifiwa sifiwa,msifu kisha ishia zako.Kwani utapungukiwa na nini?
Tunashukuru sana CPU, hii hapa juu itasaidia hata kwenye mahusiano
Bwana awe nawe Askofu
Habari yake binafsi Maty....
Vipi yale Maji ya Baraka niliyokupatia ulifika nayo salama??
Karibu tena mpendwa
[*]Usijaribu kuwabadili wenzako, badilika mwenyewe: Wapo binadamu ambao kila kukicha wao hujaribu kuwabadilisha wenzao? Kama wewe ni miongoni mwa watu wa namna hiyo, nasikitika kukuambia kwamba kazi kubwa ipo mbeleni mwako. Sio jambo rahisi kumbadili mtu. Ni sawa kabisa na kupoteza muda. Badala yake,jaribu wewe kubadilika.Kama mfanyakazi mwenzako ni ile aina ya watu wanaopenda kusifiwa sifiwa,msifu kisha ishia zako.Kwani utapungukiwa na nini?
Tunashukuru sana CPU, hii hapa juu itasaidia hata kwenye mahusiano
Thanx CPU, kwa mada nzuri,
1.Pia kuna hii, Wakati wote mchukulie mtu anaekuja mbele yako ni wathamani kwako,yaani ni kama mtji kwako, kwani kwakufanya hivi utafaidika nae kwa yale anayoyajua.
2. Fahamu kila mwanadamu anapenda kusifiwa na kupewa priority hivyo wape ukipaumbele na sifa wanazostahili na katika hili uwe mwaminifu na aina ya sifa unayompa muhusika
3. Jifunze kuwa mpatanishi na mwenye upendo kwa wengine kwani ukiwa hivi utapendwa na kuheshimiwa na wakubwa kwa wadogo.
4.Penda kufahamu wajibu wako katika ofisi unayofanyia kazi, jibiidishe na jielimishe zaidi ili kuwa bora katika tasnia unayofanyia.
kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaHizi kanuni zitakusaidia sana