NJia asili ya kupunguza ukubwa wa mikono ,matiti na tumbo

Farudume12

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
621
Reaction score
348
NJIA ASILI YA KUPUNGUZA UKUBWA WA MIKONO,MATITI NA TUMBO
[emoji522]Tangawizi na limao ni viungo vinavyoaminika ktk kukausha mafuta na kuyeyusha mafuta mwilini
[emoji522]Leo tutavitumia viungo hivi asilia katika kupunguza ukubwa wa matiti,tumbo na mikono iliyoning'inia

[emoji261]mahitaji[emoji116]
[emoji117]tangawizi mbichi
[emoji117]limao au ndimu

❣JINSI YA KUFANYA❣
[emoji261]Twanga tangawizi hadi ilainike sana kisha kamulia limao lako au ndimu
[emoji261]mchanganyiko huo jisugulie kwenye mikono kwa mda wa dkk2 had5 ILI KUONDOA NYAMA ZILIZONING'IA MKONONI

[emoji261]Paka mchanganyiko huo matiti yako hayo unayotaka yapungue pakaa kwa mzunguko kwa kuvutia juu au katikati ya chuchu huku ukigugua taratibu kwa mda wa dkk2 acha ikauke

[emoji261]KWA KUPUNGUZA TUMBO chukua maji weka tangawizi,kisha chemsha ikichemka subiri iwe vuguvugu kamulia limao au ndimu moja kunywa alafu paka tumboni mchanganyiko wa tangawizi mbichi na limao na usugue sehemu zote unazotaka zipungue
[emoji261]
❣fanya lile linalokuhusu tu.kama ni titi mikono au tumbo
❣tangawizi ikikauka unapaswa ufanye mazoez
❣kumbuka mazoez yote ya mikono husaidia titi lisianguke na pia lisimame dede
[emoji262]fanya hivyo mara mbili kwa siku ndani ya wiki mbili utapata matokeo mazuri sana.
 
mimi pa matiti tu, katika body yangu matiti nachefukwa nayo...
yani kesho naenda kununua tangawizi za kutosha na malimao.
hayo matiti niyaoshaje na sabuni gani ili ngozi iweze kunyonya tangawizi vizuri
 
Hapo kwenye titi utawapata wengi mkuu. Asante kwa elimu hii
 
Jinsi gani limao na tangawizi uliyopaka nje inapunguza mafuta ya ndani?
 
Jinsi gani limao na tangawizi uliyopaka nje inapunguza mafuta ya ndani?
Sasa wew unashangaa limao na tangawizi??;mbona kuna majani ukiweka kidogotu ndani yakiyatu unalewa!! tena unalewa kweli aliepiga viroba anahafathali.
 
mimi pa matiti tu, katika body yangu matiti nachefukwa nayo...
yani kesho naenda kununua tangawizi za kutosha na malimao.
hayo matiti niyaoshaje na sabuni gani ili ngozi iweze kunyonya tangawizi vizuri
Wew pakatu matokeo.utayaona kwanguvu za Mungu
 
Kwa cc wanaume tutafutie dawa ya kupunguza unene na urefu wa mpini , maana ukinipatia mimi hayo maelezo nitakushukuru sana .

Natamani kuvaa suduwali zinazoendana na mwili lakini nimeshindwa kwa sababu ya mchoro unaokuwepo ktk maeneo hayo sana.
 
Kwa kupaka tu mhmm! iyo pointi ya mwisho ya mazoezi ndo ya msingi zaidi.
 
hapo labda wajuzi waje watusaidie....
 
Asante kwa elimu hiyo ntaifanyia kazi,,Je wewe Farudume12 ulishawahi kujaribu ikaleta matokeo?
 
Kwa kupaka tu mhmm! iyo pointi ya mwisho ya mazoezi ndo ya msingi zaidi.
Mkuu mbona diclofenac gel tunapaka nje kwenye maumivu ya viungo na yanapona?

Au mafuta ya kishoka na salimia tunapaka nje ya ngozi maumivu ndani yanakwisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…