Elections 2010 NJIA BORA YA KUMSHAWISHI MTANZANIA WA KIJIJINI KUELEWA UBAYA au UZURI WA CCM

Elections 2010 NJIA BORA YA KUMSHAWISHI MTANZANIA WA KIJIJINI KUELEWA UBAYA au UZURI WA CCM

tzjamani

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2010
Posts
995
Reaction score
31
Naomba kujua njia bora ya kumshawishi mtanzania hasa wa kijijini ambaye hajui nini chanzo cha umaskini wake ili aweze kuchagua mabadiliko. Kumbuka inawezekana wengi hawajui maana ya ufisadi wala nani kafisafi nini. Hajui kama Tanzania ina rasilimali za kutosha kuwa na maisha bora kwa kila mtanzania.
 
Back
Top Bottom