Njia gani bora kuukabili huu ushindani

Njia gani bora kuukabili huu ushindani

Innocent Kirumbuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,641
Reaction score
4,457
Wakuu natumaini ni wazima wa afya mimi kuna sehemu niliazisha biashara yangu muda kidogo niseme kama lile eneo limevamiwa baada ya mimi kuja pale wamekuja watu kama kumi wote wanabiashara kama yangu kwaiyo ushindani umekuwa mkubwa sana sasa nataka kukabiliana na huu ushindani bila kuwakwaza wenzangu kwakuwa jf ina watu wengi sana naomba ushauri nifanye nini niweze kukabiliana na huu ushindani
 
Anzisha huduma za ziada kwa wateja wako. Napia tuweke wazi ni biaashara ya aina gani na inadeal na nini?
 
Wakuu natumaini ni wazima wa afya mimi kuna sehemu niliazisha biashara yangu muda kidogo niseme kama lile eneo limevamiwa baada ya mimi kuja pale wamekuja watu kama kumi wote wanabiashara kama yangu kwaiyo ushindani umekuwa mkubwa sana sasa nataka kukabiliana na huu ushindani bila kuwakwaza wenzangu kwakuwa jf ina watu wengi sana naomba ushauri nifanye nini niweze kukabiliana na huu ushindani
Ni biashara gani unafanya?
Je ulikua na uhusiano mzuri na wateja?
Kwa maana silaha ya kwanza KAULI. Una itumiaje kauli yako kwenda kwa wateja?.

Ya pili ni uaminifu na kutimiza ahadi. unapo toa ahadi akikisha una itimiza kwa gharama yoyote ile
 
Biashara ya vinywaji
Hivi vingine vyote nipo vizuri sana
 
Back
Top Bottom