Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Mkuu nikishusha bei si nitaleta vita na wale wezanguShusha bei.
Basi ondoka uwaache.Mkuu nikishusha bei si nitaleta vita na wale wezangu
Niondoke tenaBasi ondoka uwaache.
Niondoke tena
Wewe ushauri wako kama jina lakoBasi uza bei juu.
Wewe ushauri wako kama jina lako
Kama yapiOngeza manjonjo au mautundu katika biasharA yako
Ni biashara gani unafanya?Wakuu natumaini ni wazima wa afya mimi kuna sehemu niliazisha biashara yangu muda kidogo niseme kama lile eneo limevamiwa baada ya mimi kuja pale wamekuja watu kama kumi wote wanabiashara kama yangu kwaiyo ushindani umekuwa mkubwa sana sasa nataka kukabiliana na huu ushindani bila kuwakwaza wenzangu kwakuwa jf ina watu wengi sana naomba ushauri nifanye nini niweze kukabiliana na huu ushindani
Ni biashara ya kuuza juice maji kwa ujumla vinywajiAnzisha huduma za ziada kwa wateja wako. Napia tuweke wazi ni biaashara ya aina gani na inadeal na nini?
Biashara ya vinywajiNi biashara gani unafanya?
Je ulikua na uhusiano mzuri na wateja?
Kwa maana silaha ya kwanza KAULI. Una itumiaje kauli yako kwenda kwa wateja?.
Ya pili ni uaminifu na kutimiza ahadi. unapo toa ahadi akikisha una itimiza kwa gharama yoyote ile