Tafadhalini sana nilisoma hapa kweny jamvi mmoja wa wanajamvi alisema aigundua njia rahisi sana na shortcourt kupata kibali cha kufug kwale na kanga maliasili hapaTanzania. Nnaombeni sana nisaidieni namii niitumie nami kupatakibali wakuuuu tafadhali sanaa bwana chasha na 1800 na wote