Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Habari wana JF?
Naamini wengi wanaouza either duka au wajasiriamali wadogo wadogo watakua wanajiuliza hili swali, wengi hatuna majibu kamili (hasa tusio na ujuzi wa uhasibu/biashara)!!
Wataalamu tunaomba muongozo wenu!!
Kwa kuanzia:
Mfano, mimi ni muuza mazao viatu, pair moja nimenunua 8000 na nimetumia gharama za shilingi 3500 mpaka kiatu kufika dukani! Je kiatu hiki nitauza shilingi ngapi?
Je nitatumia njia gani kupanga bei ambayo haita muumiza mteja wangu wala haitaniumiza mimi!!
Karibu kwa mawazo!!