Njia gani nitumie kupanga bei ya kuuzia bidhaa zangu?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,600
Reaction score
35,158
Habari wana JF?

Naamini wengi wanaouza either duka au wajasiriamali wadogo wadogo watakua wanajiuliza hili swali, wengi hatuna majibu kamili (hasa tusio na ujuzi wa uhasibu/biashara)!!

Wataalamu tunaomba muongozo wenu!!

Kwa kuanzia:

Mfano, mimi ni muuza mazao viatu, pair moja nimenunua 8000 na nimetumia gharama za shilingi 3500 mpaka kiatu kufika dukani! Je kiatu hiki nitauza shilingi ngapi?

Je nitatumia njia gani kupanga bei ambayo haita muumiza mteja wangu wala haitaniumiza mimi!!

Karibu kwa mawazo!!
 
Kunavitu vtatu vya kuangalia
1.gharama zako ( cost)
2. Bei iliyopo sokoni
3. Bei za waasimu wako
4. Aina ya wateja unaoenda kuwauzia bidhaa husika/ wateja wanauwezo wakununua bidhaa yako
 
Kunavitu vtatu vya kuangalia
1.gharama zako ( cost)
2. Bei iliyopo sokoni
3. Bei za waasimu wako
4. Aina ya wateja unaoenda kuwauzia bidhaa husika/ wateja wanauwezo wakununua bidhaa yako
Shukrani kwa mawazo yako kiongozi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…