Njia gani rahisi naweza kutumia nisisumbuane na wahudumu wa mgahawa wangu kwenye mahesabu?

Njia gani rahisi naweza kutumia nisisumbuane na wahudumu wa mgahawa wangu kwenye mahesabu?

Joined
Dec 18, 2017
Posts
5
Reaction score
1
Habari wadau napata changamoto moja kwa wahudumu wangu wa mgahawa kwa muda mahesabu baada ya kuwahudumia wateja ukifika muda wamahesabu. Je ni njia gani rahisi naweza kutumia ili nisisumbuane nao?
 
Usiruhusu washike hela, mteja akila fika mezani pata total cost kutoka kwa mhudumu aliyehudumia, chukua hela.
 
Back
Top Bottom