N Nasib_success7 Member Joined Dec 18, 2017 Posts 5 Reaction score 1 Aug 18, 2021 #1 Habari wadau napata changamoto moja kwa wahudumu wangu wa mgahawa kwa muda mahesabu baada ya kuwahudumia wateja ukifika muda wamahesabu. Je ni njia gani rahisi naweza kutumia ili nisisumbuane nao?
Habari wadau napata changamoto moja kwa wahudumu wangu wa mgahawa kwa muda mahesabu baada ya kuwahudumia wateja ukifika muda wamahesabu. Je ni njia gani rahisi naweza kutumia ili nisisumbuane nao?
Godfirst JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 407 Reaction score 474 Aug 18, 2021 #2 Usiruhusu washike hela, mteja akila fika mezani pata total cost kutoka kwa mhudumu aliyehudumia, chukua hela.
Usiruhusu washike hela, mteja akila fika mezani pata total cost kutoka kwa mhudumu aliyehudumia, chukua hela.