ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
Wadau, kuna jamaa yangu anataka kunitumia parcel toka UK.
Nilitaka kufahamu njia gani salama na ya uhakika ya kutuma mzigo kwa hapa TZ manake kuna wakati jaama walinitumia Posta wakafungua na kuchakachua baadhi ya mizigo.
Nitashukuru kwa ushirikiano