Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,482
- 2,600
Jana nilipaki gari yangu mahali kama dakika tano hivi nikashuka kununua matunda.
Kurudi nawasha gari inatoa mlio krrrrr lakini starter haipigi. Kifupi haikuwaka. Hangaika sana pale.
Nikasema si nilikua naiendesha sasa hivi? What happened... Nikashuka nikafungua boneti, nikachek Coolant ipo ya kutosha (sema mfuniko ulikua wa moto ule)
Nikachek Oil. ATF na ilimradi nijifanye nasolve tatizo, sikutaka wale wakaka pembeni pale waje wanizunguke kunipa msaada.
Baada ya kuchek kila kitu, bado gari haiwaki. Nikalazimika kuomba msaada. Nikasubiri amebaki mkaka mmoja, nikamuita. Nikamueleza situation.
Yeye alipofika tu kwenye boneti akawasha tochi (ilikua usiku) akachek sekunde kumi hivi kisha akasema "una spana namba kumi?" Nikamwambia sina. Basi akasema "ngoja nakuja"
Fasta akaja na spana moja ba Pliers moja na chupa ya maji. Akafungua terminal moja ya betri ilikua imejaa ungaunga mweupe/kijani.
Akaosha pale kwenye terminal, akaosha na ile connector kwa yale maji. Kisha akarudisha terminal. Akasema "washa gari". Nikawasha ikawaka. Ndio akaniambia tatizo ni hii Carbon ilikua imejaa kwenye terminal ya positive. Uwe unapaosha na maji kila baada ya mwezi.
Nikamuuliza hakuna njia ya kudumu? Akasema yeye hajui.
Jamani huo ungaunga kuna njia simple and permanent kuzuia usijae pale? Nyie mabetri ya magari yenu hayajawahi kuwa na ungaunga? Ama ni dalili ya betri kufa?