Njia gani unaweza tumia ili kuondoa ads kwenye app

kipanga85

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2024
Posts
2,459
Reaction score
6,466
kwenye app nyingi siku hizi kuna matangazo mengi sana ,sasa ni njia gani ya kufanya ili usipate hayo matangazo
 
Njia nzuri na salama, lipia app husika. Ili kuifanya app iendelee kuishi sababu mantainance za app ni gharama.

Au

Download mod apk za hiyo app, ila kuna usalama mdogo wa taarifa zako
 
kuna ile dns adguard sijui inafanya kazi kwenye apps ila ijaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…