Natumani mu wazima ndugu wanajamvi
Ninaomba ushauri wenu, katika msimu huu wa sikukuu i'm going to meet with my husband na tunaishi tofauti kwa sababu za kikazi
Sasa hizi siku ambazo tutakuwa pamoja ni siku za kushika mimba according to my calender, naomba mawazo yenu nitumie njia gani ya kuzuia mimba kwa huu muda (temporary method).
I think unazungumzia morning after pillz ni vidonge vizuri vinaweza kuwa msaada kwa aliye andika uzi huu, na vinatakiwa vitumiwe within 72hrs after tendo.kwenye pharmacy zipo,
habari yako
ingawa mimi sio mzuri sana katika mambo hayo! lakini kuna vidonge vinaitwa P-2. unakunywa kidonge kimoja ndani ya masaa 36 toka umefanya tendo la ndoa. hata kama ni siku ya hatari huwezi pata mimba.
Ingawa vidonge si vizuri lakini nafikiri kama ni mara moja au mara 2 nafikiri si mbaya.
huo ni ushauri wangu, kama kuna wataalamu watatoa maoni yao au ushauri zaidi basi si mbaya
Nilisoma uzi umu ndani kwamba ukichanganya vijiko 3 vya majivu kwenye glass ya maji na ukanywa inazuia mimba.. Wenye kumbukumbu wanaweza quote Ile thread umu
ni mume wangu wa ndoa na tuna mtotohuyo ni mumeo au boyfriend?
ahsante kwa ushaur
habari yako
ingawa mimi sio mzuri sana katika mambo hayo! lakini kuna vidonge vinaitwa P-2. unakunywa kidonge kimoja ndani ya masaa 36 toka umefanya tendo la ndoa. hata kama ni siku ya hatari huwezi pata mimba.
Ingawa vidonge si vizuri lakini nafikiri kama ni mara moja au mara 2 nafikiri si mbaya.
huo ni ushauri wangu, kama kuna wataalamu watatoa maoni yao au ushauri zaidi basi si mbaya
hayo majivu nahisi yatanitapisha,but ebu elezea ni majivu gani ya mkaa,kuni au mabua sema na procedureMpe tu jamaa yai arutubishe kwanini hutak kutotoa?any way sisi mbeya tunayaamini majivu kikombe kimoja cha chai over.
thanks ndugu kwa ushaurUsipende kutumia P2 kama peremende kwani zimetengenezwa kwa maana ya emergency na post arbotion care so hata ukizitumia inatakiwa isizidi twice in your life time. Ushauri wangu nenda kwa mtaalam kwenye kituo cha afya utapata ushauri mzuri sana sana