Njia inayotumiwa na watanzania wengi kutatua matatizo ya kwenye jamii kwa sasa

Njia inayotumiwa na watanzania wengi kutatua matatizo ya kwenye jamii kwa sasa

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,635
Reaction score
4,160
[emoji121]
WAKUU,

TANZANIA NDIO NCHI PEKEE AMBAYO MATATIZO YA KWENYE JAMII BADALA YA KUFIKISHWA KWENYE NGAZI AU VITENGO HUSIKA ILI YATATULIWE,
YANATATULIWA KWA NAMNA HII

[emoji116][emoji116]
Da mange huezi amini huku Mtaani kwetu Bunyokwa kwa Yong'eyong'e maji hayajatoka wiki ya pili. Pliz hide my ID.

AISEE HII NCHI HII!!!

DAAAAAAAAAAAAAHH!!!!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Asante kwa taarifa ukiona hivo ujue huyo anaetumiwa anatazamwa na wahusika wengi kuliko wananchi wa huko banyokwa
 
Wahusika mpaka waambiwe na magu ndo maana tunamtumia huyu
 
Yanatatuliwa mara tu Mange anapopata taarifa na kusambaza kwenye Instagram page yake. Mfano ni ule mlango wa theatre ya hospitali moja hv ya wilaya ya Dar km sikosei,umebadilishwa within 24hrs baada ya bi dada kupost..
 
Da mange ndio kila kitu alipost mlango mbovu wa tmk hospital hajayapita masaa umebadilishwa umewekwa mwingine achana na da mange wewe
 
Back
Top Bottom