njia ipi inamaliza bando kwa haraka zaidi Kati ya hizi

njia ipi inamaliza bando kwa haraka zaidi Kati ya hizi

9c16a495bca5e74adbd88c7185e31495.jpg
 
Vyote hutumia Bundle isipokuwa matumizi hutofautiana kulingana na muda utakaoutumia kuperuzi kwenye Youtube au kama ni kudownload inategemea na ukubwa wa kile unachokidownload.
 
Nahisi watu hawajakuelewa

Mm nimekuelewa hivi..kuplay au kudownload the same movee ni lipi linakula sana Mb?
Mfano movee ya rambo kuwatch online na kuidowload ipi nitasave mb?
MB zile zile tu.
 
Inategemea if kudownload unaweza kupunguza quality na mb zitapungua,n vice versa
 
Back
Top Bottom