Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,592
- 2,381
Wakuu habari za weekend.
Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu.
Kutokana na mdogo wangu kuwa na chunusi za muda mrefu imepelekea USO wake kubaki na alama na makovu ya chunusi. Je ni njia ipi sahihi yakuweza kuondo hayo yote.
Kama kutakuwa na cosmetics au njia nyengine mbadara ili aweze kuwa soft na USO wake uwe na muonekano mzuri.
Karibuni