Asugue na kiazi ulaya (mviringo/cha chipsi/mbatata) usoni kwa siku mara mbili.
Asugue na nyanya ( nyanya maji/ tomato)usoni kwa siku mara mbili.
Asugue na unga wa dengu usoni uliochanganywa na unga wa manjano kwa siku mara mbili.
Asugue na manjano mbichi usoni kwa siku mara mbili.
NB: Asitumie vyote kwa wakati mmoja achague kipi kitamfaa au atumie kwa kubadilisha badilisha.
ajue pia vitu vya asili huleta matokeo taratibu kwa hiyo subira inahitajika.
#Team Natural#