Njia ipi ya Mpango wa uzazi ni bora kwa wanandoa?

Tatizo la kalenda

1. Wanaume sio wavumilivu

2. Wanwake ni wadanganyifu sana, utaambiwa inanyesha hadi siku 10[emoji1]
kalenda ikiwa siku hazivurugiki ni the best sio ya kuiamini pia....
 
Njia Ni Moja tu mkuu iliyosalama kabisa isiyo na madhara yoyote nayo nikufata Sunnah ya kuoa mke zaidi ya mmoja..! Basi!..
Hizo njia zilizobaki ni za kuchochea Uzinzi.. Uasherati...Uzinifu Basi..hazina tija zozote
 
Wazungu wote nje! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji12]
 
Njia Ni Moja tu mkuu iliyosalama kabisa isiyo na madhara yoyote nayo nikufata Sunnah ya kuoa mke zaidi ya mmoja..! Basi!..
Hizo njia zilizobaki ni za kuchochea Uzinzi.. Uasherati...Uzinifu Basi..hazina tija zozote
Kulingana na dini zingine kuoa mke zaidi ya mmoja ni uzinifu.
 
Ila hizi dini bana, mambo kama haya yangekua rahizi sana... kama una wake watatu , wana relax na pia mwanaume ana relax.
Kulingana na dini zingine kuoa mke zaidi ya mmoja ni uzinifu.
 
Hahahahahaha mwili wote huwa unasisimka unakuwa kwenye dunia tofauti acha waite UTAMU ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nimecheka sana, Unawasikia wazungu kwenye uti wa mgongo wanakuja kwa maringo.!!๐Ÿคฃ
 
Kuna kiti inaitwa rear end kama mna makubaliano
 
Umesema
1. Majivu
2. Mbegu za mnyonyo (sijui mnyonyo ndo nini maybe give name in English)
3. Kitambaa

The how its used &how it works๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‰
hahaha majivu anakunywa mwanamke baada ya tendo inafanya kama emmergency pills zinavofanya

mnyonyo huu ni mmea i really dont know exactly what its biological name ni mti flani una vimbegu vina kama miiba sasa mwwnamke anameza baada ya period yake kwisha anameza hizo tumba according na muda anotaka kuzuia mimba kumbuka sio minyonyo yote inafanya hio kazi ni ile inayojiotea yenyewe ndio husema ni the best

kuhusu kufunga kitambaa hii nayo mwanamke anachukua kitambaa alichotumia kuingia hedhi hakifui anakichukua na uchafu wake anafungia kama ni kabatini au kwenye chupa na kuificha mbali mtu asione wala panya sije akatambaa nacho

kuna flagyl pia lakini zote hizo bado zimesaliti mtu anatumia na mimba akabeba
 
hiyo ya kitambaa nilisikia,ukipoteza hicho kitambaa huwezi kupata ujauzito tena
 
Duuuh, bonge la elimu asantee Sana!!
Mnyonyo kwa English Ni castor plant, mafuta yake castor oil na mbegu zake Ni castor seeds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ