Njia ipi ya Mpango wa uzazi ni bora kwa wanandoa?

Unajua wanawake wengi hawana elimu ya haya mambo, pia wanaume wengi nai vilaza.

Ili kwenda sawa shule yake ni pana sana.. kuna uongo mwingi sana kwenye calender.
nakubaliana nawe! Wanaume na Wanawake wengi hawaijui njia ya kalenda vizuri...

Wengi wanadhani wanaifahamu vizuri ila ukianza kumuuliza maswali kumsikiliza unagundua haifahamu kiasi cha kutosha. Hivyo pamoja na kufuata kalenda lakini anajikuta kapata mimba halafu anabaki anashangaa shangaa imekuwaje. Kumbe hajui njia ya kalenda vizuri na mbaya zaidi ni hajui kama haijui, yeye anadhani anaijua.

Cha ajabu zaidi ni kwamba, hata baadhi ya Wataalamu wa Huduma za Afya (Wafamasia, Madaktari, Wauguzi, Watu wa Maabara, Wakunga n.k) nao unakuta hawafahamu namna nzuri ya kumuelekeza mtu jinsi ya kutumia njia ya kalenda.

NB:
Unaweza kuwa daktari au muuguzi na bado usiifahamu vizuri kalenda.

Kalenda ni rahisi sana, ila tu ukiwa ni mvumilivu na unafuata masharti vizuri. Ukiwa na papara njia ya kalenda inakuwa ngumu sana na utajikuta unafyatua mimba after mimba.
 
View attachment 1721824


Ikifikia siku ya hatari piga puchu. Tumia hii
Kweli kabisa waambie..., siku za hatari watu waache VaginaJob na badala yake wapate Handjob, Tittyjob, Fingerjob, Cunnilingus na Blowjob.... na jobs jobs zinginezo nyingiiiii, Maana kuna jobs jobs kibao.
Ni wewe tu mtu wako mjichagulie job gani mtafanya ili kuzipisha zile fertile days zipite kwanza .


Sipendi kuziita Danger Days, napenda kuziita Fertile Days.
 
Njia Ni Moja tu mkuu iliyosalama kabisa isiyo na madhara yoyote nayo nikufata Sunnah ya kuoa mke zaidi ya mmoja..! Basi!..
Hizo njia zilizobaki ni za kuchochea Uzinzi.. Uasherati...Uzinifu Basi..hazina tija zozote
you got it right
 
Kondom zina madhara gani
madhara yake ni kwamba baadhi ya Wanawake wanalalamika kuwa kondomu zinawachubua na kuwaumiza.
Wanawake wengine kondomu zinawawasha na kuwasababishia mzio (allergy). Some women are allergic to condoms.

Na wakati mwingine kondomu zinaweza kupasuka na manii zote zikaingia ndani ya uke.

NB:
ikitokea ikapasuka na una wasiwasi na mimba, basi ni vyema utatufe "Morning After Pills" a.k.a P2 na umeze ili kuzuia mimba.
 
hahaa ya kitambaa ndio hivo panya akiiburuta ndio usahau kubeba ujauzito

pia unanuia na kufunga mafundo kulingana na miaka unayotaka
duuu!!! hii imekaa kiimani zaidi.unanuia kwa kutumia quran nini
 
Kondom zina madhara gani
Kondom haina madhara.

Labda kwa wale wanawake wenye allergy na Latex ...ndio huwashwa sanaaa .

Kondomu huzuia magonjwa yaenezwayo kwa njia ya ngono..lkn njia nyinginezo hazizuii.

Kondom inawasaidia wale wanaume wanakojoa haraka shahawa, Wachelewe.
 
itabidi tuanze kuoa wake wawili.au nasema uongo ndugu yangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nawashangaa sana mnaoitaja njia ya Calender kuwa ni salama.Nimekuwa mtaalamu wa kutumia calender lakini ilinifelisha mara tatu,hata sasa Wife amenasa kizembe kwa sababu ya hiyo..**** U Calender.
full kunasa tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Calenda ni nzuri lakini efficiency yake ni below 80% kwa sababu ya mzunguko kubadilikabadilika pia mwanaume awe muelewa.
Sio mwanaume tu,

Wewe mwanamke ndio unatakiwa Ujijue kwa kuangalia uteute wa wa siku za uzazi na joto mwili lako.

Sasa mwanaume nahayo wapiwapi??

Yeye mwanaume kazi yake ni kukutii unachomweleza nakam nayeye yuko makini atakua wakwanza kukumbusha.


Haijalishi mzunguko wako unabadilika vipi, Siku za Mimba zitabaki kua siku zinazojulikana.
 
Tatizo kubwa ni uelewa, zaidi ya 80% ya wanawake kizunguko ni stable.


Pia kwa anaye jua kuna + or - zone ambazo hutakiwi kuzigusa.


Calenda ni nzuri lakini efficiency yake ni below 80% kwa sababu ya mzunguko kubadilikabadilika pia mwanaume awe muelewa.
 
Hapa simaanishi uelewa wa mwanaume kujua cycle namaanisha kukubali kutosex siku za hatari kuna wanaume ni wabishi hawakubali kabisaa.
 
Hapa simaanishi uelewa wa mwanaume kujua cycle namaanisha kukubali kutosex siku za hatari kuna wanaume ni wabishi hawakubali kabisaa.
Kama mwanaume ni mbishi hapo ni majanga. Njia ya kalenda inatakiwa mwanamke na mwanaume washirikiane. Kuna app inaitwa My Calendar ni nzuri sana mwanaume kuwa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…