Njia ipi ya Mpango wa uzazi ni bora kwa wanandoa?

Ninatumia Coitus interuptus for almost 18 years now hakuna shida yoyote niliyo face. Pamoja na kwenda shule siziamini hizi contraception zinazohusiana na kubadili physiology esp. ishu za ki hormone
 
Dunia hii ya ajabu sana, kuna wengine wanatafuta lakini mimba inagoma, wewe katone tuu kamoja kanaharibu mambo[emoji1]
Si ndiyo hapo sasa mkuu, yani usipo kuwa na habari na mimba unakuta himo, ila zile za kuitafuta utapiga vitu havinasi aiseehh kumbe ume experience hiyo kitu
 
Ni hatari sana.hapa akija huyu lazima turejee tu njia za mzungu
 
Ninatumia Coitus interuptus for almost 18 years now hakuna shida yoyote niliyo face. Pamoja na kwenda shule siziamini hizi contraception zinazohusiana na kubadili physiology esp. ishu za ki hormone
naomba unijuze n nn hii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…