Sking zone
Member
- Jun 20, 2024
- 12
- 7
Kuijenga Tanzania imara miaka mitano hadi ishirini na tano ijayo yaweza kuwa kama ndoto za chizi maarufu hapa nchini kuota kawa Rais wa nchi hii hapo baadae endapo tatizo la uogozi mbovu litaendelea na endapo migogoro na majibizano ya kisiasa yasiyo na tija yataendelea, tuige mifano mizuri kwa nchi zilizo endelea kama Marekani, kwenye nchi hii n nadra kuisikia.
Migogoro ya kisiasa ndani na baina yao wenyewe kama wamarekani, nchi hii haifungamani na mambo ya siasa wakati wa shughuli za kiserikali, hii inawapa malengo mema na uzalendo madhubuti baina yao wenyewe.
Ili kujenga Tanzania tuitakayo lazima misingi imara ijengwe ili kujenga uongozi bora na imara kwa tija ya maendeleo ya taifa na sio maendeleo ya watu wachache walioshikilia madaraka hayo, kwani endapo uongozi bora utajengeka yafuatayo yatatokea kwenye ujenzi wa Tanzania tuitakayo miaka mitano hadi ishirini ma tano ijayo
Uhuru wa raia mmoja mmoja utakuwepo na hii itampa raia kujua wapi tunaenda na wapi tunatoka na itaondoa kiza kinene kwenye macho ya wengi kwani mwanga walionao niwa tochi hawaoni watokapo na hawaoni waendapo bali wanaona pale tu walipo kwa muda huo husika na itawapa raia uwezo wa kusimama na kujenga hoja na kutoa mawazo yao bunifu juu ya ujenzi wa taifa lao maana viongozi ni wasimamizi wa taifa kwani waliowapa dhamana hiyo ni wananchi wenyewe kwa kuwapigia kura na hii italeta chachu kwenye maendeleo ya nchi na ijenzi wa tanzania tuitakato
Uhuru wa vyama vya siasa utazingatiwa, ikumbukwe pia Tanzania ni miongoni mwa mataifa ya kidemokrasia kama ilivyo kenya na nchi zinginezo, na ijulikane kuwa mawazo ya vichwa viwili vya watu yako sawa kwa lengo fulani lakin hayafanani katu, hii ina maanisha wapishi wa nyama wote hutumia viungo sawa lakini tamati lasha huzidiana, vyama vya siasa na chama tawala ni kama wapishi waipikao tanzania kuelekea kwenye ujenzi wa tanzania tuitakayo, kwani CCM itakapo toa maoni iweke mwanya Kwa ACT WAZALENDO, CHADEMA, NCCR MAGEUZI na vyama vingine ili kuuunda hija kubwa na imara badala ya kutumia mwazo ya pande moja tu ya shilingi, endapo hii itafanikiwa hapo italeta tija kwenye ujenzi huu tuutakao
Uhuru wa vyombo vya habari utakuwepo, vyombo vya habari kama redio, luninga na magazeti bila kusahau mitandao ya kijamii, ndizo nyanja zenye ushawishi kwa watu wengi, hivyo basi kama uongozi bora utazingatia muongozo wa katiba jambo hili Sserikali iratumia kufikisha taarifa mbalimbali kwa jamii kwa muda mfupi na watu watatoa maoni juu ya mada lengwa, serikali isiweke vikwazo vigumu juu ya usambazaji wa taarifa zake kwa wananchi kwani wananchi huitaji kujua mitembeo yote ya uongozi ili kujua kweli serikali inatimiza kwa uhakika yali yalio kusudiwa?
Uhuru wa wafanya biashara na wawekezaji, Serikali iangalie pia wawekezaji wa ndani na siokulenga wawekezaji kutoka mataifa ya ulaya na uarabuni kwani inaminya nafasi za uwekezaji wazawa wa hapa nchini, kwani hata nchi nyingi huanza kujenga wao wenyew na kuwakaribiaha wageni kupitia wenyeji na sio kuwafanya wageni kuwashawishi wenyeji kuwekeza kwenye nchi yao wenyewe, na hii italeta tija.
Kwa wawekezaji wazawa kuweka juhudi ili kulinda rasilimali za taifa lao tofuti na walowezi humu nchini, na pia itapelekea kupunguzwa kwa kodi juu ya bidhaa zinazozalishwa hapa nchini na kuongeza tozo kwa wafanya biashara wa nje humu nchini yaani ifanyolike protectonism ili kuukuza uchumi wetu pia kwa haraka na kuifikia ndoylto za kyijenga tanzania tuitakayo.
Itapelekea upungufu wa ubadhilifu wa mali za umma kwa mfano report ya CAG ilivyoletakanganyiko hapa nchini lakin endapo uongozi ukiwa bora yote haya hayata tokea kwa ukubwa kama ilivyo sasa kwani hata ongezeko la utoaji na usambazaji wa RUSHWA utapungua na hii itapelekea kuifikia ndoto kwa wakati sahihi wa kuijenga tanzania tuitakayo, kwani adui mkubwa wa maendeleo ya nchi yetu ni RUSHWA kwahiyo endapo hii itatokomezwa taifa lazima lisonge mbele.
Pia itapelejea uendelezaji na ujenzi wa miundombinu bora na wezeshi kwa mijini na vijijini, ujenzi wa barabara usiishie kwenye majiji kama Dar, Arusha Mbeya, Dodoma na mwanza bali iende kote nchini kwani hii hupelekea upotevu wa mali za umma kuwezesha maeneo machache na maeneo mengi kuwa duni kimaendeleo.
Lakini pia naiona Tanzania kama nchi ya kusadikika yenye uongozi imara na maendeleo thabiti kili nyanja
umeme vijijini na mijini, maji vijijini na mijini, barabara imara na bora vijijini na mijini, amani thabiti iliyo tikuka kwa mataifa mengine na kuigwa kwa wengine na kuwa kama eneo la mafunzo kwa wengine.
Eeeeh Mungu tazama taifa letu tuongoze kwa ujenzi huu maana wewe ndo muweza wa yote bila wewe hauwezi
Hivyo pia Mungu yatupasa kumwendea ili atupe umoja ma ushirikiano baina yetu watanzania na kuondoa makundi yaliyopo.

Upvote
1