Njia mahususi ya kuvunja penzi.

Huo ujumbe ni mkali sana anaweza kujihisi ni takataka katika dunia. Mm nakushauri sehemu yenye mapenzi inaonekana. Fanaya mambo asiyo yapenda yeye mwenyewe atakasilika ata amua kususa.

Kumbuka malipo duniani ukimtenda mwenzio hata wewe utalipwa hapa hapa. MAPENZI NI ZAIDI YA MSIBA MAPENZI YANAUMA. Heri kupendwa kuliko kupenda usipopedwa.
 
Panga nae muda kisha umweleze ukweli kuhusu hisia zako juu yake (i.e. humpendi) mpe sababu za hisia hizo kuwa hivyo na pia jaribu kujibu maswali yake yote atakayouliza. Baada ya hayo acha kabisa kuwa na mawasiliano nae, yaani mawasiliano ya aina yoyote. It'll be painful but time will heal na cha muhimu the truth was told- hata kama mgumu vipi kuelewa kuambiwa hupendwi utaelewa tu!
 

Hakika unastahili tuzo ya ushauri nasaha. Watu wote wamechangia lkn wewe No 1
 
Mwambie we need a break kutafakari our relationship and then take really long break ikiwezekana kata mawasiliano, kama anaakili atajuwa kuwa ametemwa.
 
Panga nae muda kisha umweleze ukweli juu ya hisia zako (i.e humpendi) na toa sababu zimekua hivyo kama unazo. Jaribu kumpa muda ili akuulize maswali na pia jibu maswali yake. Baada ya hapo hakikisha huna mawaziliano nae ya aina yoyote ile..Its painful but something that everyone must learn to cope with and move on and besides with time (s)he will be ok but eleza ukweli bila kuficha kitu- hata uwe mgumu vipi kuelewa kuambiwa hupendwi na kwanini utaelewa tu lasivyo ni ujinga.
 
Unajua anakupenda ila hata ujitahidi namna gani humpendi tu!

Ni njia gani mahususi ya kuvunja penzi?

Jua kua sio muelewa. anachotaka ndio wape. sio understanding.
Mpe laivu bila chenga

acha kumuharibia na kumpotezea muda kwani hata ukimkubali na hata mkaishia kuoana, hakutakua na penzi na utaishia kuliwa na kila tom, dick and harry
 
sidhani kama kuna njia mahususi ya kuvunja penzi la mtu anayekupenda kweli ......kupendwa usipopendwa balaa tupu
 
Mwambie tu ukweli mapenz hayana kulazimishana
 
No way kama feeling hazipo tena hazipo tu hata afanye nini...pole sana,i have been there n i did this:nlimake sure narise misunderstand kila mara, so muda mwingi hatuelewani, nakuwa mbishi, akiomba nakuwa na visingizio vingi n.k n.k ililast more than a mnth na kumtamkia its over siwezi,lastly alielewa akufukuzae si lazma aseme toka n ye mwenyewe akaadmit no love tena, tuka break up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…