Njia moja ya kumsaidia Mh. Kikwete



naona hujanielewa kabisa......
sijasema Kikwete aombe Mungu ili aweze kufanikisha maisha bora kwa kila mtanzania....

mimi nimesema Kikwete kwa ujumla wake kama mtu mwenye jukumu kubwa mbele yake...
anahitaji msaada wa Mungu.... na hakuna sehemu niliosema wananchi wamchague tena
au wasimchague......

Kwangu mimi Kikwete anahitaji msaada wa Mungu hata kama asilimia 90 ya watanzania
wangekuwa wanaridhishwa na uongozi wake.....

kuna vitu ni vigumu kuelewakama huamini Mungu na wala hujui nguvu ya kumuomba mungu
iko vipi.
 
Nafikiri njia nyingine rahisi kutompigia kura come 2010, akibaki nyumbani kwake hakuna usumbufu wa watu milioni 40!

Very simple aache urais kama anaona mzigo
 
Nafikiri njia nyingine rahisi kutompigia kura come 2010, akibaki nyumbani kwake hakuna usumbufu wa watu milioni 40!

Very simple aache urais kama anaona mzigo

nani ambae wewe
unaona tumpigie kura 2010?????
 

Kufanikisha maisha bora kwa kila Mtz si mojawapo ya majukumu yake?Ama hakutoa hiyo ahadi?Ama hili nalo aachiwe Mungu?
Tuacheni utani jamani,Taifa haliwezi kukombolewa kwasababu ya tamaduni kama hizi ambazo zinachangia "ganzi"
Reality,reasoning,evalution ni mojawapo ya mambo yanaotakiwa yatuguide na si kuomba peke yake.
Hata ukiomba vipi ukweli hubaki pale pale,ama hilo nalo linahitaji Mungu kulijua?Kwamba ukweli hauwezi kubadilishwa na maombi?
 

maombi yana nguvu kwa
tunaoamini......
binadamu anahitaji msaada wa Mungu.
sio ganzi ni kujua tu Mungu ana nguvu.
 
maombi yana nguvu kwa
tunaoamini......
binadamu anahitaji msaada wa Mungu.
sio ganzi ni kujua tu Mungu ana nguvu.

Maombi yana nguvu ya kuubadilisha ukweli?Hiyo ni imani potofu!
 
Ina maana kwenda kuikamata mijizi iliyojaa serikalini aende kwa mungu wake, wakati tayari ana nguvu za kuviamrisha vyombo usika vifanye kazi zake.

Haitaji mungu kutuongoza labda for his personal fulfilment mungu wake amsaidie hayo tena ni ya private.

Kutuongoza anahitaji balls of steel at the moment kuwatolea uvivu mijitu inayoiletea hasara taifa na kutuongezea umaskini. Na kujifunza kuweka watu wasio marafiki sehemu muhimu hili waki- mess up their next stop iwe ukonga. Kazi zitatendeka.
 
Tatizo viongozi wa dini wengine wasanii, mfano sheikh Yahya hv ni kiongozi wa dini au mpiga ramli? Naogopa sana maana ndio role model wa maamuzi makuu ya nchi. Sasa hapo watanzania tupime ghadhabu ya Mungu itakuwaje juu yetu.
 

Ndio maana nikamweleza The Boss kuwa ukweli uko pale pale no matter what,akishalijua hilo basi tunaweza kuendelea vyema na mjadala kwamba ni nini JK afanye kama njia mojawapo ya kumsaidia.
 

sijui kama umewahi kusikia msemo huu....
common sense is not common........

wewe yote hayo unaona ni common sense.....
but watu wengine hawaoni hivyo.....
wanahitaji msaada wa aina fulani ili waweze kuona
yale wengine tunaona.....
na msaada wa ki spiritual pia ni msaada mkubwa.

halafu hizo ball of steel mnazozizungumza hapa hamjui yeye Kinachomkwaza hasa ni nini?
yeye ndie yupo jikoni, obviously kuna mengi anayajua ambayo sisi hatuyajui....
nothing is what u see in politics.....
 
Ndio maana nikamweleza The Boss kuwa ukweli uko pale pale no matter what,akishalijua hilo basi tunaweza kuendelea vyema na mjadala kwamba ni nini JK afanye kama njia mojawapo ya kumsaidia.
labda boss atueleze mungu atamsaidia vipi kutuondolea umaskini?
 
Ndio maana nikamweleza The Boss kuwa ukweli uko pale pale no matter what,akishalijua hilo basi tunaweza kuendelea vyema na mjadala kwamba ni nini JK afanye kama njia mojawapo ya kumsaidia.

jmushi......
inawezekana wewe binafsi.. hujawahi kupata tatizo lako binafsi na kufikia hatua ya kutojua ufanye nini.....

mimi binafsi nilishakumbwa na tatizo kubwa sana na nikawa sijui nifanye nini, but nilipomuomba Mungu anionyeshe njia.. its funny,niliweza gundua kuwa kumbe sio tatizo kubwa kihivyo....

yale unayoona kwako wewe ni rahisi.... kwa mwenzio ni miujiza...... we dont think the same remember....
 
labda boss atueleze mungu atamsaidia vipi kutuondolea umaskini?

siamini kuwa na wewe huamini Mungu.....
Mungu huwapa watu hekima....
Mungu huwapa watu ujasiri.....
Mungu huwapa watu jawabu la matatizo...
lakini kabla ya yote hayo ni lazima umuombe kwanza......

wewe mwenyewe ukae chini uongeee na Mungu......

with God's favour on your side nothing can stop you.
 
mnamkumbuka mzee ruksa????
kwa nini mpaka leo kuna watanzania wanampenda mno mzee ruksa?? ni kwa sababu ni Mcha Mungu......

na aliwavusha salama watanzania na kuwaachia neema,sio kwa sababu alikuwa na akili sana,bali kwa kuwa alikuwa anamtegemea Mungu zaidi.
 
If anything your post emphasizes the point he needs those steel balls.

Ni kweli yote uliyoysema, hila kumbuka hata sisi ordinary people tunakutana na dillemas every now and then in our lives. At times tough decisions have to be made, to move forward. Sometimes the situation favours us, at time we compromise at times we loose.

Hivyo na yeye najua atakuwa na decisions ingawa zake, ndio zina huge consequences hila its part of his job ndio maana tunampa the best privileges and tolerate his childish whims.

Thereforee he has to fulfill his part of the bargain, huwezi weka promise alafu utegemee, some miracles from somehwere unless una private conversation nae ambae ameku-promise ata itekeleza.

Hila tunachojuaa yeye katoa promise kwetu maisha bora, unless unafahamu namna mungu atamsaidia vinginevyo lets not be like advisors giving useless advise.

Hawezi amwachie kazi mwingine its not as if he is abdicating a throne, ni raisi anaechaguliwa na watu, atusaidie haitaji mungu first, bali ideas to tackle our problems. Now where does god fit in all this?
 
Mimi im not 100% believer ila amini sasa naanza kueshimu wale wetu wa wa mioto na miti kuliko hawa wa wageni na nahi heshimu miungu ya watu wote na kuiogopa, hila kwenye maisha unadili na situation not your god believe me.
 
J.Mushi na J.Contena anacho sema Boss, si kwamba akimuomba Mungu ndio matatizo yatakwisha Bali atapata ujasiri zaidi kwa kujua kwamba hao anaowatumikia sasa/ au kuwa linda hawawezi mfanya chochote kama Mungu wake yu pamoja nae/au akiwa anaamini kuna kitu chenye nguvu zaidi ya hawa anaowaona wana nguvu kwa sasa.

Mfano unaweza kuuona kwa huyu Captain wa Guinea leo hii yupo Ivory Coast baada ya kujeruhiwa.

Na kama Boss alivyosema hapo mwanzo Tz ina wato millioni 40, lakini katika wote yeye amekuwa Raisi wetu, sio kwamba anaakili saana kuliko wengine, bali kutokana na Kudra za Mwenyezi Mungu, hivyo basi anatakiwa Saana amthamini. Alhaji Alisema Mimi ni Kichugu, Mwl ni Kilimanjaro, lakini aliweza, tena toka kujiuzulu kuwa waziri wa Mambo ya Ndani, Jumbe akalazimishwa kujiuzulu nk nk mpaka Mzee Rukhsa akafika alipo fika.

Tatizo la Vijana wengine wana wadharau wazee na kuwaona wamepitwa na wakati, au hawajui ujanja wamjini.

Hata uweke usalama wa taifa wote/Jeshi/ Mawaziri watu wako hiyo haikupi usalama wako au mafanikio yako at 51% na kuendelea
 

where does god fit in all this??????
really????????????

hivi unaamini kumshauri kiongozi wa nchi akae karibu na Mungu ni useless advice????????

soma vizuri nilichoandika,sizungumzii uchaguzi wala ahadi zake....... na wala sijasema watu wasichague kiongozi mwingine........

wakichagua mwingine itakuwa bora zaidi.... but the way i see ni kuwa Kikwete ndie
rais now na ataendelea kuwa rais probably mpaka 2015 unless something extra ordinary kitokee.....

na hata akiwa rais kwa miezi tu hiyo michache iliyobaki mpaka uchaguzi......with God's favour
ataweza kufanya mengi aliyoshindwa kufanya huko nyuma.
 


AUGUST....THANX.......
umesema exactly nilichotaka kukisema.... but God's favour iko kwako ndo maana umeweza kuwaelimisha kile nilichokuwa najaribu kukifafanua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…