Njia moja ya kumsaidia Mh. Kikwete

its all how you've set ya self mentally, if you have set your mind that god offers peace, hope and courage. the moment you inter your tample of worship or read one of his books, then peace and courage enters your mind. Believe or not we are a product of reinforcement and nothing more. Hivyo kwa mtu ambae ataenda kwenye jumba lake kupata hii courage let it be.

Hila the bottom line he has to deliver on his promises or else he knows what to do.
 
wewe Sir GOD sio wa kumsingizia kila kitu. yaani sisi wananchi wdnyewe ndio wapuzi .wajinga tumechagua kiongozi muongo. hakuna kumhusisha SIr GOD.
 
Na ss wenyewe tujitahidi kuomba ili apate ule mwamko wa yeye au msukumo wa maombi.Maana bila hivyo ni bure maana nafikiri watakuwa wanafuata ya shehe Yahya kwamba mtu asimpinge kikwete km yy ndo mungu.hewa tu hiyo kikwete aongee na mungu wake yahya ndo nn hiyo?
 
wewe Sir GOD sio wa kumsingizia kila kitu. yaani sisi wananchi wdnyewe ndio wapuzi .wajinga tumechagua kiongozi muongo. hakuna kumhusisha SIr GOD.

wapi nimemsingizia God??????
watanzania kwa ujumla wao hawawezi kuwa wajinga.
 

Nimekuelewa vizuri sana,tatizo liko upande wa hoja yako,hapo bado una zidi kunichanganya hapa.....Pia nimeshangazwa kidogo kuona unasema eti hakuna pahala umesea JK aombe Mungu ili aweze kufanikisha ilani yake ya uchaguzi ya maisha bora kwa kila mtanzania na wakati hap hapo unasema kuwa JK kutokana na majukumu yake makubwa basi anahitaji msaada wa Mungu,sasa kuna tofauti gani kwenye pointi hizo mbili hapo juu?Jukumu lake kubwa halitakiwi kuwa utekelezaji wa ahadi zake kwa wananchi kwazo ambazo zimepelekea yeye kupewa jukumu la uongozi?
 


uongozi bora sio lazima kutekeleza vizuri ilani ya uchaguzi....

anaweza asitekeleze ilani ya uchaguzi na bado wote tukamwona ni kiongozi sahihi,

Nyerere alishindwa mengi sana but still wengi hatuku doubt kuwa ni kiongozi sahihi,

there is more in leadership than election manifesto.
 

Hapa kuna tatizo kubwa zaid ya hili linaloongelewa hapa, mwanzo watu wa Mungu walikuwa wanaenda kumwombea na alikuwa hakatai ila wakaja kujua kuwa pia anashirki upande mwingine (kamati ya ufundi).

Sasa kwa kanuni za mungu hilo siyo njambo dogo hasa ukishajua kuwa raisi ni lango la nchi na lango ameamua kulikabidhi kwa baba wa uwongo. Kumwombea tu haisaidii nchi kwa sababu ni kwa faida yake binafsi kuwa mungu asirudi. Kinachotakiwa hapa ni mambo yafuatayo

i) Kumwombea upatanisho na Mungu (Renconcilliation) halafu kumwombea mungu amuimarishe (restoration) au

ii) Tumwombe Mungu amutoe kwenye kiti

yote haya Mungu anaweze
 
wewe Sir GOD sio wa kumsingizia kila kitu. yaani sisi wananchi wdnyewe ndio wapuzi .wajinga tumechagua kiongozi muongo. hakuna kumhusisha SIr GOD.

NA kibaya zaidi badala ya kumwomba Mungu tunachotaka bado tunafanya unafiki eti tumwombee raisi wetu kwa Mungu ili iweje. Tunachotakiwa kumwambia mungu wetu kuwa tunaomba usafishe ikulu yetu. sasa njisi atakavyosafisha hayo ni mapenzi yake
 
the boss umenena maneno ya kweli na ni hakika ukiomba na kuamini mwenyezi mungu anatoa majibu
kikwete anatakiwa kufunga na kuomba mungu amjaalie hekima
amen
 
hainiingii akilini kwamba mtu wa kizazi hichi anaweza KUONGEA NA MUNGU NA AKAMSIKILIZA!

ingekuwa ni straight kiasi hicho basi ardhi hii pasingemwagika damu!...

SO FAR,....!i salute you boss
 
hainiingii akilini kwamba mtu wa kizazi hichi anaweza KUONGEA NA MUNGU NA AKAMSIKILIZA!

ingekuwa ni straight kiasi hicho basi ardhi hii pasingemwagika damu!...

SO FAR,....!i salute you boss

ur very wrong Geoff
mungu ni yule yule jana leo na hata milele..ukiomba na kuamini unapata majibu
sema tu tumejitenga sana na uwepo wa mungu ...tumekuwa mbali sana na mungu tumekuwa tukienenda pasipo haki siku zote
lakini pale tutakapoamua kujirudi na kumrudia mungu..hakikia yeye si mungu wa visasi
 
wapi nimemsingizia God??????
watanzania kwa ujumla wao hawawezi kuwa wajinga.

Mkuu sio kwamba napingana na wewe. na kiukweli watanzania sao wajinga hilo linajulikana wazi ndio maana CCM imeweza kushinda hata kwenye serikali za mitaa hapo DAR,na soon wamewaahidi tena wananchi wa hapo flyovers, kwa kuwa kazi yao inaonekana,na maisha bora yapo tayari.
 
bubu..
Kikwete anatakiwa kuzungumza
na mungu wake na kumuomba
ampe muongozo.....
huwezi ongoza watu milioni 40
kwa ujanjaujanja.....
lazima awe honest na aombe msaada
kwa mungu.....
mimi naamini hivyo......

Boss Mkuu, It is true this fellow needs some SPIRITUAL/SUPERNATURAL intervention in order to leave some semblance of legacy after his departure!! Ajabu yenyewe ni kwamba mara nyingi tunamkumbuka Mungu mambo yakiwa magumu!!
 
Boss, Hili uliloliongea ni jambo la msingi sana kwa kiongozi yoyote anayetaka kuongoza kwa mafanikio. Hata Mkapa aliwahi kushauriwa kuongoza toba ya kitaifa ili mungu atuepushe na majanga yanayotuzunguka, ikiwemo rushwa na uongo uliokithiri, ila alikaidi. Unaona yanayompata?

JK hana jinsi ya kuweza kuongoza vizuri watu wa taifa hili kama ataacha kumuuliza mungu wake nini anaweza kufanya ili mambo yaweze kuwa bora. Sijui hana jinsi....wana mtandao na ile dini ya wafanyabiashara imeongeza rushwa tu bila msaada wowote kwa watanzania waliowengi.
 

very true.........
 
The Boss you have made a great point kwa kweli!.....Bila mungu nothing will be done...and i think lile neno "sodoma na gomora "..limetimia maana vitu vinafanyika kiubadhilifu na dhambi zimetawala sana...hata ma-padri siku hizi wana zini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…