kuna wanasiasa wanakesha wakisali ili waupate uongozi ama madaraka, baadhi wanachukulia hizo kazi kama ajira na heshima na kunabaadhi wanalichukulia kama deni la kuwatumikia wananchi....system ya uongozi africa ni butu, hata hayati Nyerere pamoja na uzarendo wake wote hakufanikiwa kutufikisha kwenye kujitegemea, kwa sababu ya udhaifu mkubwa wa watendaji nje na ndani ya sirikali.......so uki invest sana mawazo yako kwa hawa wanasiasa, you will die crying.... wananchi wengi si wacharikaji, watu wa kupiga maneno na kuishi kwa mishenimisheni tu... hakuna mhindi waziri, lakini waliowengi wanapeta kuliko wazawa, wapemba au waarabu nao wengiwao wanapeta wametajirikia bongo sasa hivi hao ndio wafadhiri wa michezo, afya na siasa... nadhani wazawa siyo creative au aggressive kwenye kupigania maisha....maendeleo yataanzia kichwani kwako, wewe mwenyewe unaishi bila malengo, unategemea mwanasiasa wa kibongo atalala macho kwa ajili yako? vyama vyetu vya siasa bongo iwe CCM, CHADEMA, CUF etc ni vyama vya bendera au deal, ni vikundi vya wajanja wajanja tu...