Njia mpya ya kuwalinda wanawake

Joined
Aug 7, 2016
Posts
42
Reaction score
25
Kutembea na wasichana wengi ni mbinu mpya ambayo inaweza kumlinda mwanamke wako unayempenda zaidi asivamiwe na maadui zako..

Ingawaje n ngumu kwa mwanamke kuelewa hii mbinu.. atabaki amekununua wakati unamsaidia[emoji3] [emoji3] [emoji4]

wisdom will kill me[emoji23] [emoji23]
 
Unawalindaje aisee
 
Safi sana kwa uvumbuzi ingawa sikubaliani na problem solving yako!
 
Kumlinda / Kumchunga mtu mwenye akili timamu ni Ujinga

Btw haiwezekani, akiamua kukusaliti basi anakusaliti tu.
 
Kumchunga mwanamke ni kama kulinda bahari, wewe unalinda Tanga watu wanavua Lindi..
Kweli nimeamini mjinga hujikanga jua kwa kivuli cha kapelo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…