YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
1.Kuuza uraia kwa watu wa nchi nyingine wenye pesa.Marekani wao ukishanunua municipal bond kwa dola laki Tano unapewa green card bila longo longo.Na sisi tuwauzie ma bond yetu kwa dola laki Tano tuwape uraia watakaozinunua
2.Makongamano ya kidini viongozi wa dini wahamasishwe kuandaa makongamano ya kimataifa ambayo huwaleta wahudhuriaji wengi toka mataifa mbalimbali ambao huja na pesa za kigeni kulipia.
Mahotel,usafiri nk Watu Kama TB Joshua wa Nigeria na Bushiri wa Afrika kusini wansingizia nchi walipo pesa nyingi za kigeni kupitia makongamano ya kidini.Mfano makongamano Kama hayo ya kusoma kurani,mabohora kuja kufanya kongamano nk huleta wageni wengi wenye pesa zao za kigeni.
3.Serikali kutafuta scholarship nyingi Sana.Wakenya jirani zetu wako aggressive Sana kwenye.Mtoto akipata scholarship pesa za kigeni tayari zinaanza kuingia mifukoni kwa vijana
4.Kuruhusu PayPal kutumika kupokea hela Tanzania.
Huu mfumo wa PayPal unasaidia mtanzania hata wa kawaida kabisa kuuza vitu online na kulipwa pesa zake za kigeni .Tanzania haijaruhusu huo mfumo Kenya hata muuza vikapu aweza uza online na akalipwa kupitia PayPal kwenye simu yake ya mkononi .Serikali iruhusu watanzania kupokea pesa kupitia PayPal.
Watanzania tunakuwa tu watumia pesa za kigeni kuingiza pesa za kigeni inakuwa vigumu sababu PayPal Tanzania hatutuhusiwi kupokea pesa kupitia mfumo huo!!!!
Njia zingine mpya ongezeni wengine