Nilikuwa naweza kutuma msg kutoka mitandao mingine ay yahoo, facebook , X etc kwenda kwenye yahoo mail yangu KUPITIA GOOGLE E-MAIL YANGU. eg nikitaka kutuma msg toka whatsapp nina highlight, click share, then inakuja :from google email yangu, then naweka yahoo email nazikuta huko naand then can print the msg. sasa process hiyo haifanyi kazi. tatizo nimevurga wapi?