Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Toa maoni yakoMr. President
Kutaifisha mali za wana CCM wote, twauza na kulipa deniToa maoni yako
Sijagombea au kushika nafasi yeyote serikaliniMpaka sasa umeshagombea au kushika nafasi zipi za uongozi Rais wangu wa baadaye ili tukupime kwa kidogo kabla ya kuhodhi madaraka hayo makubwa?
Hakuna jambo Rahisi mimi najua njia za kufikia uraisMaono mazuri,nje ya mfumo na katiba mbovu. Huwezi kuwa rais kamwe.
Watumishi wengi wa serikali wanatengeneza mazingira ya kufosi per diem sio wote ila wengi wanafanya hivyoGood idea
Ukiweza kuondoa government Unecessary Expenditure.
Basi Tambua hii nchi itasonga mbele kwa kasi ya ajabu .
Kwakuwa ziara moja ya waziri au Rais unakuta inatosha kujenga zahanati mbili mpaka tatu
Huwa nashangaa jinsi teknolojia ilivyokuwa Ila unamkuta Rais anazunguka vijijini au waziri wakati ilibidi akae ofisini kwake na taarifa zimkute na kuzifanyia Kazi.
Ndo maana nimezungumzia nchi inahitaji reform kuanzia katika Culture.Watumishi wengi wa serikali wanatengeneza mazingira ya kufosi per diem sio wote ila wengi wanafanya hivyo
Culture inabadilishwa na Rais mfano kabla Lee Kuan Yew hajawa waziri mkuu wa Singapore ilikuwa ni nchi flani iko hovyo sanaPia kuna swala la Culture kumbuka kuna nchi hazina Mafuta wala Gas Ila ni nchi tajiri na zimefanikiwa mfano Venezuela .
Ila nchi Kama Congo , Hait ambazo zilibidi kuwa Superpower Ila zimeishia kuwa masikini na kuuana. The same Tanzania .
Swala la Culture Kama Rais lazima ujue culture ndo inaamua taifa liwe na watu wavivu , walevi , wachapa Kazi , wezi na wawaza ngono .
Ntaendelea ...
Usishangae kuna majimbo marekani yana income tax ambayo ni flat rate kwa jina lingine inaitwa proportional tax5% flat???? Does equity in your system observed?
Ikiwa utaanza na kubadilisha culture ndo utaifanya nchi kukaa katika mfumo wa kujiletea maendeleo.Culture inabadilishwa na Rais mfano kabla Lee Kuan Yew hajawa waziri mkuu wa Singapore ilikuwa ni nchi flani iko hovyo sana
Ila Lee Kuan Yew alivyoingia na alivyotoka Singapore ni nchi mbili tofauti