Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #21
Kuna uzi ntauleta utakuwa na title Tanzania culture revolution bado nauandaa ukikamilika ntaupost na kukutagIkiwa utaanza na kubadilisha culture ndo utaifanya nchi kukaa katika mfumo wa kujiletea maendeleo.
Ningependa Leo ujifungie maktaba ujaribu kuandika kuhusu swala la culture
Kaz kwelikweli. Yaani bongo ufananishe na marekani??? Hio suggestion ni upuuzi alafu naomba nitajie jimbo mojawapo la marekani. Regressive is the best model for taxation especially in countries with high Lorenz curve kma tz.Swal Lang la mwisho we ni mjamaa au mbepari?Usishangae kuna majimbo marekani yana income tax ambayo ni flat rate kwa jina lingine inaitwa proportional tax
Hapana sio mimiWewe si ndio wewe unagombea ubunge moshi sijui wa vunjoo watu wanakupendaga kama ni wewe poa
Dah wewe una mawazo mazuri sana .Mimi nikiwa raisi kutakuwa na wabunge. 30,mawaziri 12 ,hakuna naibu waziri,
Kuwa mbunge ni lazima uwe na masters na kuendelea,lazima umiliki walau m 100,nitafuta wakuu wa wilaya na makatibu wao,nitafuta ma ded kwenye halmashauri,Kila mbunge atalipwa flat rate 4000000/,Gari zitakuwa za umma ukistaafu unaacha ofisini.nitawekeza sana kwenye sekta ya kilimo cha nafaka na matunda,
Rushwa itakuwa ni wimbo uliosahaulika.watu wataajiriwa kulingana na ufaulu wao na weledi wao.wazee wote watatunzwa kwenye maeneo maalumu kwa hiyari.nitashusha sana ushuru wa vyombo vya moto ili Kila mtanzania amiliki gari au piki piki.vitu kama trecta vitaingia free.nitajenga makazi ya nchi nzima,hakuna Tena Kila mtu kumiliki nyumba yake,badala yake Kodi ya kumiliki nyumba zitakuwa maradufu ,lakini nyumba za serikali zitapatikana kwa Kodi nafuu sana .hakutakuwa na makahaba Wala mashoga,nitahakikisha literacy rate inafikia 98% .waalimu watakuwa ndio wenye mshahara mkubwa kuliko sekta zote.veta zote zitakuwa ni bure.miji yote itapangwa kikamilifu.kutakuwa na viwanda vya kimkakati vya nguo ,magari pamoja na bidhaa za kielectronics
Nimeongelea taxKaz kwelikweli. Yaani bongo ufananishe na marekani??? Hio suggestion ni upuuzi alafu naomba nitajie jimbo mojawapo la marekani. Regressive is the best model for taxation especially in countries with high Lorenz curve kma tz.Swal Lang la mwisho we ni mjamaa au mbepari?
Asilimia kubwa ya alichokiongelea nimeshaongelea kwenye nyuzi zangu ambazo zinafika 60+Dah wewe una mawazo mazuri sana .
Deni la Taifa limekua sana na kila mtu analalamika kivyake lengo la uzi sio kutupia lawama sehemu yeyote ile bali kuja na siluhisho
Mimi nina mpango wa kuwa Rais wa Tanzania zifuatazo ni njia ntakazotumia Kupunguza ukuaji wa deni la Taifa
- Kupunguza kodi (mfano VAT asilimia, corporate tax asilimia 8, individual income tax asilimia 5 flat rate)
- Kupunguza mishahara ya wabunge na kuwa million 7 take or leave it
- Kuondoa mikopo ya gari kwa wabunge wakitaka magari watanunua kimpango wao kama ilivyo kwa watumishi wengine
- Kupunguza misafara ya viongozi na kuwa midogo
- Ni kosa la jinai kwa watumishi wa umma kufanya kazi nje ya ofisi kwa malengo ya kufosi per diem lazima uwe na sababu za msingi
- Miradi yote mikubwa kama treni, barabara, flyover itafanywa na makampuni ya watanzania Hakutakuwa na compromise lengo kuhakikisha fedha yote inayotumika kwenye ujenzi ambayo ni nyingi sana inabaki Tanzania ili kubost Multiplier effects. Imagine zile Trillion 15 na zaidi zilizotumika kuwalipa makampuni ya nje zingebaki hapa Tanzania ni wazi zingeboost ukuaji wa uchumi
- Magari ya serikali yatakuwa yananunuliwa mara moja kila baada ya miaka 5 na sio kila mwaka kama ilivyo sahivi
- Serikali kufanya biashara, ukienda nchi za gulf moja ya mafanikio yao ya haraka sana ni pale Serikali zao zilipofanya biashara mfamo mashirika ya Emirates, etihad, oramco ceo wao ni wazungu. Kwa Tanzania mashirika kama ya TANESCO, MWENDOKASI, MIGODI N.K maceo wao watakuwa ni foreigner ambao watawekewa target lengo ni kuhakikisha yanakuwa na faida na inabaki hapa Tanzania
Hakuna mabadiliko yatafurahiwa na watuHoja zako za kupunguza deni la taifa ziko na mapungufu makubwa ambayo yanazidi kuonyesha ukosefu wa mipango thabiti na uelewa wa hali halisi ya Tanzania!
Hitimisho: Hoja zako zina nia nzuri lakini ziko mbali na uhalisia wa Tanzania! Zimejaa mapungufu, hazina mkakati wa utekelezaji, na zinaweza kuongeza machafuko badala ya kupunguza deni. Fikiria upya kabla ya kuota kuwa Rais!
- Kupunguza kodi (VAT, corporate tax 8%, individual income tax 5% flat rate): Unaota nini? Kupunguza kodi kwa kiwango hicho ni kujiua kiuchumi! Mapato ya serikali yatapungua vibaya, na utarudi kulalamika deni linakua tena kwa sababu hakuna fedha za kutosha!
- Kupunguza mishahara ya wabunge kuwa milioni 7: Milioni 7 bado ni pesa nyingi sana kwa wabunge ambao wengi wao hawafanyi kazi ya maana! Hii itawavutia wanasiasa wa kurukaruka tu, na utawala utakuwa mbovu zaidi!
- Kuondoa mikopo ya gari kwa wabunge: Fikiria kidogo! Wabunge wengi wako vijijini, watawezaje kufika maeneo yao bila magari? Hili ni wazo la kipumbavu lisilo na mkakati wa kumudu usafiri wao!
- Kupunguza misafara ya viongozi: Wazo lako ni zuri lakini linakosa miguu! Bila sheria za wazi za kusimamia ukubwa wa misafara, viongozi wataendelea kufanya wanavyotaka, na utabaki kulia tu!
- Kosa la jinai kwa watumishi wa umma kufanya kazi nje ya ofisi: Hii ni upumbavu mtupu! Unawazuia watumishi wa umma kama madaktari au walimu kufanya kazi muhimu nje ya ofisi kwa sababu ya per diem? Utaharibu huduma za umma kabisa!
- Miradi mikubwa kwa makampuni ya Watanzania pekee: Una akili gani? Makampuni ya ndani hayana uwezo wa kutekeleza miradi mikubwa kama treni au barabara za kimataifa! Hii itasababisha ucheleweshaji, ubora duni, na gharama za ziada—fedha za Watanzania zitapotea tu!
- Magari ya serikali kununuliwa kila baada ya miaka 5: Hilo ni wazo la kijinga! Bila bajeti ya matengenezo, magari yatachakaa haraka, na serikali itarudi kununua mapya kabla ya miaka 5—hii si kuokoa, ni kupoteza zaidi!
- Serikali kufanya biashara na CEOs wazungu: Una ndoto za mchana! Tanzania sio Ghuba; hatuna miundombinu wala mazingira ya kisheria ya kuendesha biashara za serikali kwa staili hiyo. Na kuajiri wazungu kunaweza kuamsha chuki za kisiasa na kuwakataza wataalamu wa ndani fursa!
why do you believe in proportional and not progressive or regressive? naomba pia unijibu maswal yang mengine pia. Na mwisho unajua Lorenz curve ya hayo majimbo?Nimeongelea tax
Dunia nzima tax ni zile zile haijalishi ni nchi tajiri au maskini
Kwenye income tax naamini iwe proportional tax
Haya majimbo yana flat individual income tax (proportional individual income tax) ni colorado, Illinois, Michigan, and Pennsylvania
Mh. Rais wa mchongo!Deni la Taifa limekua sana na kila mtu analalamika kivyake lengo la uzi sio kutupia lawama sehemu yeyote ile bali kuja na siluhisho
Mimi nina mpango wa kuwa Rais wa Tanzania zifuatazo ni njia ntakazotumia Kupunguza ukuaji wa deni la Taifa
- Kupunguza kodi (mfano VAT asilimia, corporate tax asilimia 8, individual income tax asilimia 5 flat rate/proportional tax)
- Kupunguza mishahara ya wabunge na kuwa million 7 take or leave it
- Kuondoa mikopo ya gari kwa wabunge wakitaka magari watanunua kimpango wao kama ilivyo kwa watumishi wengine
- Kupunguza misafara ya viongozi na kuwa midogo
- Ni kosa la jinai kwa watumishi wa umma kufanya kazi nje ya ofisi kwa malengo ya kufosi per diem lazima uwe na sababu za msingi
- Miradi yote mikubwa kama treni, barabara, flyover itafanywa na makampuni ya watanzania Hakutakuwa na compromise lengo kuhakikisha fedha yote inayotumika kwenye ujenzi ambayo ni nyingi sana inabaki Tanzania ili kubost Multiplier effects. Imagine zile Trillion 15 na zaidi zilizotumika kuwalipa makampuni ya nje zingebaki hapa Tanzania ni wazi zingeboost ukuaji wa uchumi
- Magari ya serikali yatakuwa yananunuliwa mara moja kila baada ya miaka 5 na sio kila mwaka kama ilivyo sahivi
- Serikali kufanya biashara, ukienda nchi za gulf moja ya mafanikio yao ya haraka sana ni pale Serikali zao zilipofanya biashara mfamo mashirika ya Emirates, etihad, oramco ceo wao ni wazungu. Kwa Tanzania mashirika kama ya TANESCO, MWENDOKASI, MIGODI N.K maceo wao watakuwa ni foreigner ambao watawekewa target lengo ni kuhakikisha yanakuwa na faida na inabaki hapa Tanzania
Economic is an art avoid mambo ya kukaririwhy do you believe in proportional and not progressive or regressive? naomba pia unijibu maswal yang mengine pia. Na mwisho unajua Lorenz curve ya hayo majimbo?
Maswal yangu hujibu badala yake unaniaccuse ety nakariri like serious me nakariri ety. By the way, Economics is both an art and science. usiwe mjinga kuona colaroda kuna proportional bas naapa unaleta proportional bila kuangalia factors nyinginezo kama hio ya income inequality and tax base. Kuhusu kueleweka kumbuka tunazungumzia PAYE sasa waajiriwa weng niwasomi na wanaelewa na haiathri kwasababu huchajiwa before kufika mikononi mwao. By the way una safar ndefu sana ya kujifunza tax sio umesoma economics ya advance ndo ukajiona we ni guru wa tax! Acha huo ujinga kabsa.. Jifunze na acha ubishi unazidi kujioshenya ulivyo mjinga....Mwisho, suggestions nying tu ulizotoa hapo ni UTOPIANEconomic is an art avoid mambo ya kukariri
Proportional tax inafaida zake na hasara zake hakuna tax system ambayo ipo perfect
Jambo ambalo wanalipa individual income tax hawazidi hata million 3 wengi wako wapo kwenye informal sector ila kodi ikiwa iko direct na inaeleweka ni rahisi kueleweka
Tatizo la progressive tax inakuwa na bracket nyingi sana na ni ngumu kueleweka ni nzuri kwenye makaratasi ila sio kwenye implementation
In long run both proportional na progressive tax zinakuwa regressive
Unataka mtu ajibu unavyotaka weweMaswal yangu hujibu badala yake unaniaccuse ety nakariri like serious me nakariri ety. By the way, Economics is both an art and science. usiwe mjinga kuona colaroda kuna proportional bas naapa unaleta proportional bila kuangalia factors nyinginezo kama hio ya income inequality and tax base. Kuhusu kueleweka kumbuka tunazungumzia PAYE sasa waajiriwa weng niwasomi na wanaelewa na haiathri kwasababu huchajiwa before kufika mikononi mwao. By the way una safar ndefu sana ya kujifunza tax sio umesoma economics ya advance ndo ukajiona we ni guru wa tax! Acha huo ujinga kabsa.. Jifunze na acha ubishi unazidi kujioshenya ulivyo mjinga....Mwisho, suggestions nying tu ulizotoa hapo ni UTOPIAN