didy muhenga JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 2,104 Reaction score 3,594 Jul 1, 2025 #41 Dennis Robert Shughuru said: Unataka mtu ajibu unavyotaka wewe Wewe endelea kuamini unachoamini na mimi niache niendelee kuamini nachoamini Wewe kusema suggestion nilizotoa ni UTOPIAN ni mawazo yako na sio sheria Click to expand... Lengo letu ni kuijenga Tanzania kwaio kwenye mawazo ya kimakosa ni muhimu kujifunza na kuyabadilisha. Sina lengo la kukufanya uonekane mjinga bali ni kukuonyesha where you fumbled.
Dennis Robert Shughuru said: Unataka mtu ajibu unavyotaka wewe Wewe endelea kuamini unachoamini na mimi niache niendelee kuamini nachoamini Wewe kusema suggestion nilizotoa ni UTOPIAN ni mawazo yako na sio sheria Click to expand... Lengo letu ni kuijenga Tanzania kwaio kwenye mawazo ya kimakosa ni muhimu kujifunza na kuyabadilisha. Sina lengo la kukufanya uonekane mjinga bali ni kukuonyesha where you fumbled.