Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Unaweza kuiita njia nyepesi ama ngumu kutokana na mtazamo wako ambayo Urusi yampasa au anaweza kuichukua ili kumdhibiti marekani dhidi ya hatua zake anazo chukua kupitia vita vya Ukraine katika kumdhibiti Urusi.
Kwangu mimi Nathan mtazamo kwa tazama hatua ambazo Urusi alichukua kumdhibiti Ufaransa pale alipoonesha ukiherehere katika vita vya Ukraine dhidi ya Urusi.
Hatua ambazo Urusi alichukua kupitia Wagner PM kwa kuharibu maslahi ya ufaransa magharibi mwa Afrika kupitia kufadhili mapinduzi ya kijeshi hivyo kutikisa ushawishi wa ufaransa katika eneo hilo jambo ambalo ni hasara kiuchumi na kisiasa kwa ufaransa.
Hatua hizo zilimpunguza kasi mfaransa katika vita vya Ukraine.
Hatua hizi Urusi anaweza au anapaswa kuchukua dhidi ya marekani katika maeneo hasa ya mashariki ya katika huu ndio wakati sahihi wa Urusi kuunga mkono makundi yote yanayotishia usalama wa marekani eneo la mashariki ya kati.
Ni muda sasa kufadhili kifedha,kiintelijensia,kisilaha hata kuunga mkono kisiasa makundi yote kwa maslahi yake.
Hii ndio njia ya haraka ya kumuweka marekani katika hali isiyo salama eneo hilo.
Mashariki ya kati ni moja ya eneo marekani alilo na maslahi nalo makubwa sana kisiasa na kiuchumi, ukifanikiwa kumuumiza marekani eneo hili lazima afikirie mara mbili mbili juu ya maamuzi yake anayotaka kuchukua dhidi yako.
Urusi anayo hii karata ya thamani mezani suala la yeye kuitumia ama kutokuitumia linabaki mikononi mwake.