PA kupigia tena waachie bure!!!! Sikumbuki mechi ya bure ya Taifa Stars..... Twaaafaaaaa Malinzi anawaza urais tu....Tusikate tamaa...tuna wachezaji watatu ulaya... Farid.samatta na ulimwengu..wakikaza na wanyumbani tuanze kuzichanga kwenda kushangilia Cameroon....TFF mechi za nyumbani hakuna kiingilio...Tunavuna points 9 ...hata best looser tunapaa cameroon.[HASHTAG]#Taifastarsafcon2019[/HASHTAG]
Nikuakikishie tu katika hilo kundi,,tutatoa sare mechi moja tu na lesotho na hapo itakua nyumbani,,lakini tutapigwa mechi zoteKwa mara ya kwanza Tanzania imepangwa kwenye kundi" jepesi" .Kwa maana ya Uganda, Cape Verde na Lesotho. Mara zote tulikuwa tukipangiwa vigogo wa soka Afrika.Tushindwe wenyewe. Njia nyeupe kwenda Cameroon hata Kwa best looser. Kila la heri Taifa stars.
Hadi baba Sijonze atakaporestishwa in peacesTusikate tamaa...tuna wachezaji watatu ulaya... Farid.samatta na ulimwengu..wakikaza na wanyumbani tuanze kuzichanga kwenda kushangilia Cameroon....TFF mechi za nyumbani hakuna kiingilio...Tunavuna points 9 ...hata best looser tunapaa cameroon.[HASHTAG]#Taifastarsafcon2019[/HASHTAG]
Atakuwaje mwenyeji na uwanja mmoja tuu? Mahotel yamegeuzwa hostel za wanafunzi,utawlaza wapi akina Aubemeyang? Tuunde timu ya ngono tuu,wema sepenga,lulu kanumba,sijui nan P funk,diamond,zari,na wale wa kona bar Africa sana,,,,tutashinfa.Njia pekee ya tanzania kushiriki afcon ni kuwa mwenyeji wa mashindano