Changamoto2015
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 773
- 314
Habarini za Leo wanajumuia? Naombeni mwenye uelewa wa njia rahisi na nafuu kwenye ujenzi wa ghala la kuhifadhia nafaka. Ningependa ushauri wa kuhusiana na vipimo, materials za ujenzi Kati ya cement blocks, steel prefabs au za kuchoma.
Kwenye vipimo napenda kujua ghala dogo kabisa ushauri liwe la vipimo gani? Na endapo Nita opt matumizi ya prefabs .....je kwa Tanzania naweza kupata hizo materials au mpaka ni import from China or elsewhere abroad?
Mwisho kabisa vp kuhusu gharama na urahisi Kati ya kutumia prefabs au materials zingine nilizotaja hapo juu?
Asanteni Sana.