Changamoto2015
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 773
- 314
Mwenye kujua bado nasubiri ushauriHabarini za Leo wanajumuia? Naombeni mwenye uelewa wa njia rahisi na nafuu kwenye ujenzi wa ghala la kuhifadhia nafaka. Ningependa ushauri wa kuhusiana na vipimo, materials za ujenzi Kati ya cement blocks, steel prefabs au za kuchoma.
Kwenye vipimo napenda kujua ghala dogo kabisa ushauri liwe la vipimo gani? Na endapo Nita opt matumizi ya prefabs .....je kwa Tanzania naweza kupata hizo materials au mpaka ni import from China or elsewhere abroad?
Mwisho kabisa vp kuhusu gharama na urahisi Kati ya kutumia prefabs au materials zingine nilizotaja hapo juu?
Asanteni Sana.
Sawa mkuu.....lakini ungeshauri heading iwejewe ingependeza zaidi .......maana wengine sio waandishi wabobeziBadilisha heading!
Iko kama unatuhabarisha au kutufunza jambo kumbe unatuuliza tukufunze!Sawa mkuu.....lakini ungeshauri heading iwejewe ingependeza zaidi .......maana wengine sio waandishi wabobezi
Hahahaha usijali mkuu ...nilishapata elimu ya kutosha offline, FAO wana andiko lao offline ambalo ni free of charge wameelezea vizuri Sana hizi issues za construction ya godowns Especially kwenye developing countries.Duh! Watu wanatabia ya kususia thread balaa
Vizuri sana mkuu...kama ni document na haina changamoto ya hati miliki unaweza kushea pamoja nasi ili iwafaidishe wengine pia.Hahahaha usijali mkuu ...nilishapata elimu ya kutosha offline, FAO wana andiko lao offline ambalo ni free of charge wameelezea vizuri Sana hizi issues za construction ya godowns Especially kwenye developing countries.
Ukubwa na gharama kwa kutumia brick and mortar. Sikupenda kwa kuanza na ujenzi wa kutumia steel construction.
Sawa naiweka hapa mkuu Haina neno.......maana niliipata mtandaoni na ni open source fileVizuri sana mkuu...kama ni document na haina changamoto ya hati miliki unaweza kushea pamoja nasi ili iwafaidishe wengine pia.
Document hiyo hapo mkubwa. Ukiisoma kea utulivu utaona Kuna information ya kutosha kabisaVizuri sana mkuu...kama ni document na haina changamoto ya hati miliki unaweza kushea pamoja nasi ili iwafaidishe wengine pia.
Thanks mkuu! Nmeisoma kiasi iko poa sans nmeipenda maana imeelezea mambo mengi sana.Document hiyo hapo mkubwa. Ukiisoma kea utulivu utaona Kuna information ya kutosha kabisa
Ha ha haaa! Pôle mkuuLugha ya malkia mkuu