Njia nzuri ya kudownload file kubwa TZ ni ipi?

Njia nzuri ya kudownload file kubwa TZ ni ipi?

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,655
Reaction score
2,506
Tuseme ninahitaji kudownload file ya 8GB, kuna sehemu wanaprovide service kama hii? Au kuna mtu anajua njia nzuri/nafuu ya kufanya kitu kama hiki?

Maana kwa mitandao ya nyumbani ya pay as you go inanikost kama laki nne🙁
 
mkuu,unaweza kunicheck nikusaidie,ila inaweza kuchukua kama week moja hivi kumaliza kudownload hilo file maana isp wangu ananibania sana.nitakkufanyia free mkuu.
 
Back
Top Bottom