Safi...Tafuta ramani yako nzuri, kubaliana na Fundi ukubaliane bei ya jumla Kwa pagale zima. Ila mkubaliane ya kuwa advance utampa tsh ngapi, baada ya msingi tsh kadhaa, akifikia level ya madirisha utalipa tsh kadhaa, linta tsh kadhaa na Yale Matofali ya juu ya kumalizia baada ya linta ni tsh kadhaa. Uwe mwaminifu katika kutoa hela pia. Nakutakia ujenzi mwema.
akijibu nitagiUsiweke paa na usikate vyumba ili kuokoa matofali,bati na mbao
[emoji23] [emoji23] [emoji115]Usiweke paa na usikate vyumba ili kuokoa matofali,bati na mbao
Huu ushauri ni kama nguvu za giza.Usiweke paa na usikate vyumba ili kuokoa matofali,bati na mbao
Alafu siku ikikuangia ukiwa chumban na mchepuko wako usilalamike ukaanza kusema cement za siku hizi hazina nguvu.Wakuu nipo katika mchakato wa ujenzi wa Nyumba yangu maeneo ya mile moja kibaha lakini Nina shauku ya kujua Sana njia ipi nzuri ya kupunguza gharama ya ufundi Kati ya kumtafuta fundi na kumkabidhi kazi na ukubaliane nae Bei au utafute mafundi uwalipe per day ipi inapunguza gharama wakuu.
Pia naongezea kwa kusema hivi.Tafuta mafundi kama 5 wote waulize gharama ya kujenga hilo pagale ila uwe una uhakika wa kazi zao zipo vizuri.Pia vifaa usimpe fundi hela akakununulie yeye ahusike kukuandikia na uongozane nae na ikibidi tembelea maduka kama ma5 tofauti kuuliza kifaa kile kile chenye ubora na size ileile then fanya maamuzi.Huwa wanapangana na wauza vifaa vya ujenzi kwa kukuongezea bei then wanagawana baadaeTafuta ramani yako nzuri, kubaliana na Fundi ukubaliane bei ya jumla Kwa pagale zima. Ila mkubaliane ya kuwa advance utampa tsh ngapi, baada ya msingi tsh kadhaa, akifikia level ya madirisha utalipa tsh kadhaa, linta tsh kadhaa na Yale Matofali ya juu ya kumalizia baada ya linta ni tsh kadhaa. Uwe mwaminifu katika kutoa hela pia. Nakutakia ujenzi mwema.
Ukimlipa per day atakaa hata miezi ili aendelee kupata pesa zako, njia nzuri ni kumlipa kwa kazi mfano kupiga plaster utamlipa kiasi flani, hapo kazi itaisha haraka sanaWakuu nipo katika mchakato wa ujenzi wa Nyumba yangu maeneo ya mile moja kibaha lakini Nina shauku ya kujua Sana njia ipi nzuri ya kupunguza gharama ya ufundi Kati ya kumtafuta fundi na kumkabidhi kazi na ukubaliane nae Bei au utafute mafundi uwalipe per day ipi inapunguza gharama wakuu.
Zizi la ng'ombe[emoji23] [emoji23] [emoji115]
Sasa mkuu,
nyumba bila paa wala chumba, hicho kitakua kitu gan.