Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,825
Kwa nini muwatese watoto kwa kuwakatakata miili yao? Kwa nini msiwaache wakawa kama kule kwetu Rorya, Natural condom kwa kwenda mbele!heloooow!!!!!!!!!!
habari zenyu bana
wanajf naombeni msaada wa njia nzuri ya kumtahiri mtoto wa miezi minne kati ya hizi apa chini>..
1,.kwa kutumia ring
2 kwa njia ya kawaida ya kukata. hapa najua tunaelewana kwenye hii njia ya kawaida ambayo sisi watoto wengi wa zamani tumekuwa tunatahiriwa,
<br />sikushauri hiyo ya ringi, ni wengi wanalalamika sio nzuri inaweza kumuacha na maumbile mabaya, tumia ya kawaida..
nakumbuka ilikuwa ni darasa la sita wkt nikifanyiwa hii lkn bado nina kabamiaMitaani wanakwambia ukimtahiri mtoto akiwa mdogo akikuwa anakuwa na kibamia. Mimi sitake risk nawatahiri wakifika two year kwa njia ya kawaida.
nakumbuka ilikuwa ni darasa la sita wkt nikifanyiwa hii lkn bado nina kabamia
<br />sikushauri hiyo ya ringi, ni wengi wanalalamika sio nzuri inaweza kumuacha na maumbile mabaya, tumia ya kawaida..
Mitaani wanakwambia ukimtahiri mtoto akiwa mdogo akikuwa anakuwa na kibamia. Mimi sitake risk nawatahiri wakifika two year kwa njia ya kawaida.
Teh teh teh Nyumba Kubwa bana...kwa akiwa na kabamia wewe inakuhusu?
ushauri wa nyumba kubwa nona umenistua kidogo.,
suala la kutahiri mimi nilikuwa sihitaji kwa sasa hivi ila wife naona analazimisha sana yani. kabla nikaona nipate ushauri wa doctor wa jf nadhani itabidi nitumie hii njia ya tatu ambayo ni kusubiria akue kidogo walau miaka miwili.
doctors tujadili hii topic sababu naona inagusa wengi humu ndani ambao ni member na sio member.